Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Status
Not open for further replies.
Hata MS akikimbilia kwenye udini, hoja ya JK kuhusishwa na wizi wa hela za wananchi iko pale pale, na ndiyo maana JK ka-develop rubbery legs kukwepa mdahalo. Marando toboa -- usifiche kitu -- mafisadi na wapambe wao wanaojificha nyuma ya pazia la udini wanahangaika bure tu, lazima watokomezwe. Wanachi wanataka kieleweke!!! CCM MTAJIBEBA!
 
JK ni mgonjwa wa kuanguka, anogopa kuanguka katikati ya mdahalo. Nashangaa hata yule mwalimu aliyefungua kesi ya kupinga JKasigombee tena amesahau kipengele muhimu cha afya ya JK.
 
Hata MS akikimbilia kwenye udini, hoja ya JK kuhusishwa na wizi wa hela za wananchi iko pale pale, na ndiyo maana JK ka-develop rubbery legs kukwepa mdahalo. Marando toboa -- usifiche kitu -- mafisadi na wapambe wao wanaojificha nyuma ya pazia la udini wanahangaika bure tu, lazima watokomezwe. Wanachi wanataka kieleweke!!! CCM MTAJIBEBA!

Marando wachezeshe kwata hao mafisadi! Wananchi tumechoka kuibiwa na wajanja wachache wanaolindwa na utawala wa JK. Kama naye JK na CCM walihusika katika EPA lazima kianikwe wazi hadharani. Saa ya kusema ukweli imewadia, ujanjaujanja na usanii hauna nafasi tena. Tumechoka.
 
okl lkn pia dk slaa ataulizwa simple question
nini uhusiano wake na kanisa katoliki?

Waislamu wote wanawachukia wakristu aidha kwa wazi au chinichini - sababu mpaka leo inanisumbua kuijua au kuipata. Hivi kweli mgombea unaweza kumwuliza uhusiano wake na kanisa lake anakosali? Au unamwuliza uhusiano wake na kabila lake? Lazima utakuwa umechanganyikiwa! Au ni uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo!!
 
Hata MS akikimbilia kwenye udini, hoja ya JK kuhusishwa na wizi wa hela za wananchi iko pale pale, na ndiyo maana JK ka-develop rubbery legs kukwepa mdahalo. Marando toboa -- usifiche kitu -- mafisadi na wapambe wao wanaojificha nyuma ya pazia la udini wanahangaika bure tu, lazima watokomezwe. Wanachi wanataka kieleweke!!! CCM MTAJIBEBA!

Nilishawahi kusema katika thread nyingine kuhusu mdahalo kwamba JK anamuogopa Dr Slaa, hasa kwa vile Marando kajiunga nao. Na anajua fika kwamba suala la EPA na hasa Kagoda litalipuliwa. Inashangaza kumuona JK akiwa upande wa mafisadi, kama yeye ni msafi kama anavyodai.

Bila shaka anawaogopa RA na EL wawili ambao wamemtia mfukoni mwao. Mimi nadhani Tanzania bila ya RA na EL ingekuwa njema, kuliko sasa ambapo nchi inaonekana kuwa na tension kubwa na haijulikani tuendako.
 
okl lkn pia dk slaa ataulizwa simple question
nini uhusiano wake na kanisa katoliki?
kweli kuna vichwa vingine ni vibuyu tu! Hivi kweli kwenye kichwa chako kuna ubongo kweli au ni utupu tu? Ni uhusiano wa JK na uislamu? Nini uhusiano Ben au ML Nyerere na kanisa Katoriki! Yaani ungekuwa karibu hapa ningekuchalaza viboko!
Sijui ni kitu gani? Unavuta Bangi nini? Dr Slaayuko tayari kuyajibu maswali hayo ya ukatoliki, yuko wapi handsome wako na mikoba yake ya EPA!?
 
okl lkn pia dk slaa ataulizwa simple question
nini uhusiano wake na kanisa katoliki?

Hivi swala la ukatoliki linatoka wapi? Kanisa katoliki ndo linaloongoza nchi? Tanzania ni nchi isiyokuwa na dini na hakuna mtu atakayepigiwa kura kutokana na udini wake. Kikwete 2005 alishinda kwa kishindo kikubwa unafikiri alipigiwa kura na waislamu tu? Tafadhali tupa upumbavu wako na uitunze hekima yako.
 
Wandugu,
Malaria Sugu ni mtoto wa housegirl na boss...baba yake baada ya kuona mkewe wa ndoa hapati watoto muda mrefu akaona achukue housegirl.akampa ujauzito...mungu akamjalia mkewe wa ndoa mtoto pia....baba MS akaamua kumtimua MS na mama yake....kwa hiyo anahangaika anakulalamika kila siku....naonewa....sipatui elimu kama yule mwenzangu...mahakama sijui ya nini vile....
 
okl lkn pia dk slaa ataulizwa simple question
nini uhusiano wake na kanisa katoliki?
Nafikiri mtu mwenye mitizamo ya kidini kama huyu ndugu Malaria Sugu haina hata haja ya kujibizana naye, tutaonekana na sisi hatuko makini. Mimi mtu anayezungumzia UDINI karne hii kwa kweli namuona yuko nyuma ya muda mno, hastahili hata kujibiwa.
 
Mtaji wa CCM ni kutokufahamu na umasikini wa watanzania walio wengi. Sasa watu wameanza kuelimika kwa hiyo ule mtaji umeanza kumomonyoka taratibu. Mwisho wa CCM ni kama ule wa KANU, yetu macho. Nafikiri Raisi hawezi kukubali mdahalo, kutakuwa na maswali mengi ambayo yatamshinda nafikiri.
 
phd ya kanisa?

malaria sugu nimekuvumilia na hizi hoja zako za udini nimeshindwa
hivi na wakristo wakianza ku analyze kuwa Kikwete ni mwislamu na alitumia uislamu wake katika kuwapa watu vyeo na ndio kilichoshusha hadhi ya utawala wake utasema nini??
hatutaki siasa za kidini maana ukiendeleza hii kutakuwa na uislamu na ukristo na tayari tutakuwa tumeharibu amani ya nchi yetu...

hebu ficha upumbavu wako hata kidogo basi.....
mkapa alikuwa Mkristo alikufanyia nini wewe personal kama muislamu???
kama huna cha kuongea si unyamaze tu....

Bora jamii forum hatuweki majina yetu halisi ningkutafuta na kukushoot.. bora nimwage damu yako kuliko kukuacha uishi uje umwage damu za watanzania....

please God nakuomba umuondoe huyu mtu maana anatutia majaribuni....
 
Yeye JK anataka masaa mangapi? Kama mtakumbuka John Isner na Nicolas Mahut walipokutana June 2010 kule Wimbledon, UK......walitumia more than 10 hrs kumpata mshindi katika mashindani ya Tennis.

Na watu walikuwa wavumilivu just for tennis. Suala la MDAHALO ni muhimu kwa Taifa,hata wakitaka masaa 10 watu watavumilia as long as is for the nation. Tambwe anapodai kuwa tuangalie Manifesto ya election ni upumbavu mtupu, tukiangalia rekodi zao ni utumbo mtupu.

Kama mtu umefanya mazuri unatakiwa kuvijunia hayo, sasa unaogopa nini? JK apewe hiyo priority basi aseme yeye anahitaji masaa mangapi ya mdahalo, naamini Dk.Slaa na wagombea wengine wata-comply with that as long as wanakutana pamoja, wanajibu maswali watakayoulizwa katika huo mdahalo na si kama Mkapa aliyepewa maswali in Advance.

 
Akiwa kwenye mikutano tu ana chemsha ndio ataweza kwenye mdahalo? Cha muhimu wakina Dr.Slaa waendelee na huo mdahalo hili wananchi waweze kuwaona zaidi kwani itakuwa inarushwa hewani na hapo itawasaidia kuwafikia wananchi wengi zaidi.
 
Sababu zilizotolewa na CCM za kukataa kwa JK kufanya mdahalo ni nonsense. Eti kwa sababu kura za maoni zilizofanywa hivi karibuni na Redet na Synovate tayari zimeshamuweka JK juu, na kwamba JK hana haja ya mdahalo kwani ilani ya CCM tayari imeshatolewa na iko wazi kuhusu atakachofanya akirudishwa madarakani.

Sababu ya kwanza: Kura za maoni hubadilika jinsi kampeni zinavyokwenda. Kwa mfano kura ya maoni baada tu ya mdahalo ingetoa picha halisi zaidi kuliko ile ya kabla ya mdahalo.

Sababu ya pili: Inadhihirisha kwamba rais wa kutoka CCM hufanya kazi kufuatana na laid down script -- yaani kama robot tu. Ndiyo maana wanaomzunguka wanaifaidi sana nchi. Hana kabisa maamuzi yake mwnbyewe hata yawe mazuri kiasi gani!
 
Mtu unapokuwa unapewa udaktari wa Falsafa unakuwa unachekelea tu, je waweza kupanga HOJA??
Hainiingii akilini kwa nini Kikwete anaogopa MDAHALO kama hakuna anachoficha hapa? Wape wananchi mwanya wa jinsi ambavyo unapanga HOJA zako katika mambo mbalimbali ya kitaifa. JK anajijua kuwa ni MWEUPE kwenye leadership na hoja, amezoea kuandaliwa Speech na January makamba huku kukiwa na takwimu za uongo. Step up and foward Sir, eleza ulichofanya past years with records.....unaogopa nini wakati wewe ulikuwa mwanajeshi bwana!!
 
Eti gazeti la uhuru linadai madai ya Dr Slaa yakutaka mdahalo ni kumvunjia heshima Kikwete, yaaani nimeshangaaa Tahariri hiyo, akili za wana CCM , AKILI ZA WAANDISHI WAO, AKILI ZA kIKWETE, AMA KWELI UKIIPENDA CCM , ni Ishara ya upungufu akili yenye kutia shaka.
 
Mdahalo unapaswa uwepo kisheria kwa nafasi zote za zinazogombewa. Hii itasaidia kuepuka kuwakabidhi vihiyo badaraka. Tumekuwa tukiwaleta wengi madarakani kwa kisingizio cha umaarufu bila kuzingatia huo umaarufu unatokana na nini.
 
Moderator mpeni walao karipio huyu ndugu malaria sugu, this is too much, anaharibu hii forum.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom