kwani kama anashambuliwa kwa tuhuma au mambo ya kweli hauoni ni afya kwa ustawi wa siasa zetu na taifa?Mbowe atakuwa ni mpuuzi kushiriki mdahalo ambao atakuwa anashambuliwa Mwanzo mwisho
Hapana, mkuu. Sisi hoja zetu ni bora kuliko vijembe na vijimaneno maneno vya majukwaani visivyokuwa na tija. Tunafokasi kwenye maendeleo zaidi.Mbowe na ccm yake hawapendi midahalo kwa sababu hawana hoja
Mbowe atakuwa ni mpuuzi kushiriki mdahalo ambao atakuwa anashambuliwa Mwanzo mwisho
Nashauri Mbowe usiende utakuja kunishukuruKumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,
Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.
====
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
=====
View attachment 3186218
Merry Xmas and Happy New year 2025.
Huu mdahalo hautakuwepo.
Hakuna wa kufanya mdahalo na Lissu iwe ndani au nje ya CHADEMA.
Lissu matusi hamna atakaekubali kufanya mdahalo nae mwenye akiliHuu mdahalo hautakuwepo.
Hakuna wa kufanya mdahalo na Lissu iwe ndani au nje ya CHADEMA.
Mbowe anaweza kushinda huu mtanangeHuu mdahalo hautakuwepo.
Hakuna wa kufanya mdahalo na Lissu iwe ndani au nje ya CHADEMA.
Tupe nukuu ya majibu ya mwenzakeYale tukiyaitisha hayawi hayawi yamekuwa:
View attachment 3187016
Bila shaka mwamba atakuwapo kunadi sera zake?
View attachment 3187014
Hii ikiwa ni kwa sababu chuma msimamo wake ni wazi:
View attachment 3187018
🔥🔥
Asiyekubali kushindwa si mshindani!
Pia soma: Uchaguzi wenyeviti taifa Chadema, Debates za wazi ziandaliwe kwa wagombea tuzione mbivu na mbichi zao, itapendeza zaidi!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
Siasa haipo straight kama hivyoHata kama ni energy nitakunywa tu ili nisilale hiyo siku.
Mdahalo sio wa kukosa, na hapo ndipo Lissu atakapochukua point zote za ushindi.
Litakuwa somo kwa greens maana midahalo huwa sumu kwaoHata kama ni energy nitakunywa tu ili nisilale hiyo siku.
Mdahalo sio wa kukosa, na hapo ndipo Lissu atakapochukua point zote za ushindi.
Mtu ameshafanya mahojiano kwenye Hard Talk ya BBC sio wa kushindana naye.Huu mdahalo hautakuwepo.
Hakuna wa kufanya mdahalo na Lissu iwe ndani au nje ya CHADEMA.
Hatakubali kushirikMbowe anaweza kushinda huu mtanange
Ulitegemea mbowe aje kwenye mdahalo?Hata kama ni energy nitakunywa tu ili nisilale hiyo siku.
Mdahalo sio wa kukosa, na hapo ndipo Lissu atakapochukua point zote za ushindi.
Kuna uwezekano Mwenyekiti king’ang’anizi akagoma kushiriki.