kibaraka kwa tamaa zake akatafute anacho taka kwa wajumbe na sio kwa mgongo wa wagombea wengine wa uongozi chademaUtakuwa mfuasi kindaki ndaki wa mwamba.
Watu kama nyie ni weupe kuliko akina Lucas Mwashambwa au kina Tlaatlaah chawa wa CCM huko!
Weka video yoyote ya Lissu akitukana.Lissu matusi hamna atakaekubali kufanya mdahalo nae mwenye akili
Kuna tatizo mtu akiwa mfuasi wa mwamba??Utakuwa mfuasi kindaki ndaki wa mwamba.
Atatumwa jasusi Yeriko mtunzi nguli wa vitabu kumuwakilisha.Mwana CCM MBOWE siamini kama atashiriki
Sidhani Mwamba feki yupo tayali Kufa kizembe na Mtu wa elimu ya juu Mwamba original mzee, papa, adui nambari moja WA mama Abdul na lichama chakavu Mh , Dkt Tundu Antipas Lissu...Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,
Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.
====
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
=====
View attachment 3186218
Merry Xmas and Happy New year 2025.
Kuna tatizo mtu akiwa mfuasi wa mwamba??
Mwamba ni shetani?
kibaraka kwa tamaa zake akatafute anacho taka kwa wajumbe na sio kwa mgongo wa wagombea wengine wa uongozi chadema
Machawa kama hao ndio waliomfikisha Lipumba hapa.
Nimeiuliza chatgbt kuhusu Lissu, imenijibu hivi.
Tundu Lissu is a Tanzanian politician, lawyer, and human rights advocate, known for his outspoken criticism of the government and his advocacy for democracy and good governance. He is a prominent member of the Chadema (Party for Democracy and Progress), the main opposition party in Tanzania.
Lissu gained international attention for his role as a Member of Parliament (MP) for Singida East and his vocal opposition to the policies of former President John Magufuli. He was particularly critical of the government's approach to political freedoms, human rights, and press freedom, as well as its handling of the economy and its authoritarian tendencies.
In 2017, Lissu was shot multiple times in a targeted assassination attempt outside his home in Dodoma, Tanzania's capital. He survived the attack but was critically wounded and spent several months in medical treatment in Belgium. The shooting raised suspicions that it was politically motivated, as Lissu had been a vocal critic of the government. Despite this, the Tanzanian government did not take significant action to investigate the attack.
Lissu returned to Tanzania in 2020 after recovering and again ran for the presidency against John Magufuli in the 2020 general elections. His candidacy was marked by claims of election irregularities and a highly contested result, with the government of Magufuli being accused of suppressing opposition and restricting the freedom of the press.
After Magufuli's death in 2021, Lissu continued to be a key figure in Tanzanian politics, advocating for political reforms, democracy, and justice in the country.
Mbowe atakuja?Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,
Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.
====
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
=====
View attachment 3186218
Merry Xmas and Happy New year 2025.
Freeman Mbowe is a Tanzanian politician and the leader of the Chadema party, which is one of the main opposition parties in Tanzania. Known for his advocacy for democratic reforms and human rights, Mbowe has been involved in Tanzanian politics for many years. He has faced various challenges, including political repression and legal issues, particularly during the presidency of John Magufuli.Uliza na mwamba utuletee mrejesho
Freeman Mbowe is a Tanzanian politician and the leader of the Chadema party, which is one of the main opposition parties in Tanzania. Known for his advocacy for democratic reforms and human rights, Mbowe has been involved in Tanzanian politics for many years. He has faced various challenges, including political repression and legal issues, particularly during the presidency of John Magufuli.
Trust me Mkuu hii nimeitoa Chatbot.Si muda mrefu hii hapa itaondolewa:
"Known for his advocacy for democratic reforms and human rights."
Trust me Mkuu hii nimeitoa Chatbot.