Pre GE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM 2010 Tido Mhando aliandaa kipindi cha mchakato majimboni walishiriki kama midahalo 5 baada ya hapo wakaingia mitini.

Katika midahalo hiyo 5 wagombea walionyesha CCM ilivyo watupu kwa kushindwa kujibu maswali hali iliyopelekea CCM kujitoa kwenye midahalo hadi uchaguzi ulipofanyika.

Odemba anafanya kazi nzuri kutuletea midahalo kwani vyuo vikuu hata miaka ya nyuma ni midahalo fikirishi iliipa hadhi elimu ya juu ila leo hii vyuo vikuu ni wanatembelewa na UVCCM , mabonanza, matangazo ya ulevi , kampuni za kamari yani yule dikteta wa Chato alififisha fikra na kutengeneza uchawa vyuoni.

Ukichunguza nyakati zote udikteta uliposhamiri midahalo fikirishi vyuo vikuu ndio ilibaki silaha kuwaamsha kifikra nchi hili dikteta wa Chato alilijua na kufanya watu kujadili mijadala ya kisiasa kuonekana kama ni jinai
 
Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,

Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.

====
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.

=====

View attachment 3186218

Merry Xmas and Happy New year 2025.
Sidhani Mwamba feki yupo tayali Kufa kizembe na Mtu wa elimu ya juu Mwamba original mzee, papa, adui nambari moja WA mama Abdul na lichama chakavu Mh , Dkt Tundu Antipas Lissu...
 
Kuna tatizo mtu akiwa mfuasi wa mwamba??
Mwamba ni shetani?

Wapi nimesema ni dhambi??

IMG_20241225_180332.jpg

Huo ni wasifu!
 
Nimeiuliza chatgbt kuhusu Lissu, imenijibu hivi.

Tundu Lissu is a Tanzanian politician, lawyer, and human rights advocate, known for his outspoken criticism of the government and his advocacy for democracy and good governance. He is a prominent member of the Chadema (Party for Democracy and Progress), the main opposition party in Tanzania.

Lissu gained international attention for his role as a Member of Parliament (MP) for Singida East and his vocal opposition to the policies of former President John Magufuli. He was particularly critical of the government's approach to political freedoms, human rights, and press freedom, as well as its handling of the economy and its authoritarian tendencies.

In 2017, Lissu was shot multiple times in a targeted assassination attempt outside his home in Dodoma, Tanzania's capital. He survived the attack but was critically wounded and spent several months in medical treatment in Belgium. The shooting raised suspicions that it was politically motivated, as Lissu had been a vocal critic of the government. Despite this, the Tanzanian government did not take significant action to investigate the attack.

Lissu returned to Tanzania in 2020 after recovering and again ran for the presidency against John Magufuli in the 2020 general elections. His candidacy was marked by claims of election irregularities and a highly contested result, with the government of Magufuli being accused of suppressing opposition and restricting the freedom of the press.

After Magufuli's death in 2021, Lissu continued to be a key figure in Tanzanian politics, advocating for political reforms, democracy, and justice in the country.
 
Uliza na mwamba utuletee mrejesho
 
Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,

Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.

====
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.

=====

View attachment 3186218

Merry Xmas and Happy New year 2025.
Mbowe atakuja?
 
Uliza na mwamba utuletee mrejesho
Freeman Mbowe is a Tanzanian politician and the leader of the Chadema party, which is one of the main opposition parties in Tanzania. Known for his advocacy for democratic reforms and human rights, Mbowe has been involved in Tanzanian politics for many years. He has faced various challenges, including political repression and legal issues, particularly during the presidency of John Magufuli.
 
Si muda mrefu hii hapa itaondolewa:

"Known for his advocacy for democratic reforms and human rights."
 
Binafsi mgombea wangu ni Odero Odero. Je, amekubali kushiriki mdahalo?!
 
Back
Top Bottom