Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Nafikiri kuna haja ya kutofautisha mambo mawili hapa: kukumbuka yaliyotokea Oktoba 29 na kuchochea hisia za watu. Haya si mambo yanayofanana.Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29.
Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha kukumbukwa kwa vifo vya Oktoba 29.
Unayaonaje maoni ya mdau huyu? Je yupo sahihi au nae anatumika tu kama wengi walivyo comment?🤔🤔
Soma pia: Maoni ya Watanzania juu ya mapendekezo ya kuwepo kwa maombolezo ya kitaifa kwa waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025
View attachment 3697931
CCM wa ajabu sana, Yani wameua watu kwa kiwango kile Cha kutisha alafu wanalazimisha kusahaulisha watu.hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakae sahau mauaji Yale.Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29.
Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha kukumbukwa kwa vifo vya Oktoba 29.
Unayaonaje maoni ya mdau huyu? Je yupo sahihi au nae anatumika tu kama wengi walivyo comment?🤔🤔
Soma pia: Maoni ya Watanzania juu ya mapendekezo ya kuwepo kwa maombolezo ya kitaifa kwa waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025
View attachment 3697931
Sikubaliani na wazo lako. Huwezi kumwaga damu ya watu halafu useme tuendelee mbele kama vile Haina umuhimu. Kule Soweto waliuawa watoto 60 na Polisi ila mpaka Leo Kuna siku ya kuwaenzi. Sembuse watu 518 (idadi ya serikali).Itungwe tu sheria kuharamisha makumbukizi ya vifo vya MO29. Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.
UNawapangia cha kufanya? Yes watanzania walipoteza maisha, walipoteza mali? So viongoz wadini wanawaombea woteWakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29.
Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha kukumbukwa kwa vifo vya Oktoba 29.
Unayaonaje maoni ya mdau huyu? Je yupo sahihi au nae anatumika tu kama wengi walivyo comment?🤔🤔
Soma pia: Maoni ya Watanzania juu ya mapendekezo ya kuwepo kwa maombolezo ya kitaifa kwa waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025
View attachment 3697931
SAme qn hereHofu ya nini sasa
Maadhimisho haya hayana shida. Ni kama tu kumbukizi la Nyerere au Karume dayItungwe tu sheria kuharamisha makumbukizi ya vifo vya MO29. Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.
kabisaaaaMaadhimisho haya hayana shida. Ni kama tu kumbukizi la Nyerere au Karume day
The guilty are always afraid…..