Mdau: Tusikubali baadhi ya viongozi wa dini kuamsha hisia zetu za Oktoba 29

kila mwenye mdomo ana haki ya kuongea lolote. ndipo tulipofikia. je, watu kuwakumbuka wafu wao kwa kufanya ibada ni kukumbuka machungu? mara ngapi watu wanafanya ibada za kukumbuka wapendwa wao? je, si zaidi kufanya ibada kukumbuka wapendwa wao ambao wengine haijulikani miili yao ipo wapi mpaka muda huu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…