TANZIA Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi afariki dunia nchini Marekani baada ya kupata ajali

TANZIA Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi afariki dunia nchini Marekani baada ya kupata ajali

Jipatie Siagi ya karanga

Senior Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
106
Reaction score
287
Nimeamini watu wazuri hawaishi sana.

Wakuu wakazi wa Bukoba Mjini yule tajiri wetu mzalendo MTU wa watu amepata ajali na kufariki

Pia soma > Justin Kimodoi anafanya kazi kubwa sana, naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini

Rip Justin kimodoi

Kijana smart aliyekuwa anawasaidia watu with no interest leo ametutoka inaumiza Sana kiukweli

Mdau wa maendeleo

#Snoopy Dog Dog Buyeganster

kimodoi.jpg
kimodoi2.jpg
 
Wakuu wakazi wa Bukoba Mjini yule tajiri wetu mzalendo MTU wa watu amepata ajari na kufariki

Rip James kimodoi


Kijana smart aliyekuwa anawasaidia watu with no interest leo ametutoka inaumiza Sana kiukweli

Mdau wa maendeleo

#Snoopy Dog Dog Buyeganster
View attachment 3283872
Poleni lakini kifo hakichagui na hakibagui hivyo tengeneza mambo ya nyumba yako maana nihakika utakufa.
 
Back
Top Bottom