Poleni sana kwa kufiwa na tajiri yenuNimeamini watu wazuri hawaishi sana.
Wakuu wakazi wa Bukoba Mjini yule tajiri wetu mzalendo MTU wa watu amepata ajali na kufariki
Pia soma > Justin Kimodoi anafanya kazi kubwa sana, naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini
Rip Justin kimodoi
Kijana smart aliyekuwa anawasaidia watu with no interest leo ametutoka inaumiza Sana kiukweli
Mdau wa maendeleo
#Snoopy Dog Dog Buyeganster
Wapo wengi tuKwamba wazuri hawaishi sana ? Hao wabaya wanaoishi sana ni kina nani mfano wake?
Ndio utajua hujuiAcha imani hizo mkuu