DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hapana hakuwa na interest za kuutaka ubunge Ila watu walitaka agombee Bukoba mjini.Alikuwa anataka kugombea jimbo gani tumjue muuaji wake incumbent wa jimbo. Hahah uchaguzi huu watu hawataki utani
Yes Mkuu Buye-Gangster the home of intellectualsKwenu Buyekela kiongozi