TANZIA Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi afariki dunia nchini Marekani baada ya kupata ajali

TANZIA Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi afariki dunia nchini Marekani baada ya kupata ajali

FB_IMG_17431013662754568.jpg
 
Nimeamini watu wazuri hawaishi sana.

Wakuu wakazi wa Bukoba Mjini yule tajiri wetu mzalendo MTU wa watu amepata ajali na kufariki

Pia soma > Justin Kimodoi anafanya kazi kubwa sana, naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini

Rip Justin kimodoi

Kijana smart aliyekuwa anawasaidia watu with no interest leo ametutoka inaumiza Sana kiukweli

Mdau wa maendeleo

#Snoopy Dog Dog Buyeganster

Alikuwa anataka kugombea jimbo gani tumjue muuaji wake incumbent wa jimbo. Hahah uchaguzi huu watu hawataki utani
 
Duh!!! RIP Snoopy

Huyu jamaa alikuwa mtu mzuri Sana sijui kwanini kaondoka mapema sana hivi, na tunatoka mtaa mmoja , hii taarifa imeharibu siku yangu



See you again Snoopy Dog Dog
Kwenu Buyekela kiongozi
 
Back
Top Bottom