Jipatie Siagi ya karanga
Senior Member
- Apr 20, 2024
- 106
- 287
NimeshawekaPicha
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Poleni sana kwa kufiwa na tajiri yenu
Inafikirisha taarifa zilitoka Jana usiku alikuwa ICU kwa tatizo la ajariImekuwaje kwani? Ajali ya kawaida au kuna mushkeri?
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Poleni wafiwa.
Huyu sio mswahili mkuu alikuwa anakaa mtoni Ila impact yake wanaijua wakazi wa kageraNdo nani huyo huko Daslam?
Nimepata taarifa kutoka kwa familia Mkuu .Unauhakika kwamba amefariki? Na kwamba bado hayupo icu?
Poleni lakini kifo hakichagui na hakibagui hivyo tengeneza mambo ya nyumba yako maana nihakika utakufa.Wakuu wakazi wa Bukoba Mjini yule tajiri wetu mzalendo MTU wa watu amepata ajari na kufariki
Rip James kimodoi
Kijana smart aliyekuwa anawasaidia watu with no interest leo ametutoka inaumiza Sana kiukweli
Mdau wa maendeleo
#Snoopy Dog Dog Buyeganster
View attachment 3283872
Duuh poleni,kijana Bado!Nimeamini watu wazuri hawaishi sana.
Wakuu wakazi wa Bukoba Mjini yule tajiri wetu mzalendo MTU wa watu amepata ajali na kufariki
Rip Justin kimodoi
Kijana smart aliyekuwa anawasaidia watu with no interest leo ametutoka inaumiza Sana kiukweli
Mdau wa maendeleo
#Snoopy Dog Dog Buyeganster