TANZIA Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi afariki dunia nchini Marekani baada ya kupata ajali

Kwamba wazuri hawaishi sana ? Hao wabaya wanaoishi sana ni kina nani mfano wake?
 
Kuna mdau mmoja kwenye Uzi wa Kagera akiuekezea mkoa huo kwamba ni wa hovyo alimtaja huyu marehem kama mtu anayeogopwa mpaka na RC na akasema anaendekeza majungu mm nikafikir ni BONGE la mtu kumbe ni yankii kabisa hivi?

RIP mdau wa maendeleo.
 
Poleni sana kwa kufiwa na tajiri yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…