Mdee na Wenzake leo kumwaga mboga kwenye Baraza Kuu

Stupid of you, kwahiyo Mdee ali storm office ya Katibu Mkuu na kuchukua barua? Documents zinakaa ovyo ovyo kwenye ofisi ya KM. Rubbish!
 
Chadema mbona mnakua na mambo ya kisela sela namna hii?
 
96% ya story yako ni kweli
 
Aisee uchawa mwingine nikujishushia heshima.Mdee akapenya hadi magerezani within I 24hrs wabunge wateule wakaapishwe.Kwa hiyo Mdee alikuwa na nguvu kuliko Simba wa Yuda.

Story iko hivyo Ila mtoa mada kuna vipengele ameviruka
 
Stupid of you, kwahiyo Mdee ali storm office ya Katibu Mkuu na kuchukua barua? Documents zinakaa ovyo ovyo kwenye ofisi ya KM. Rubbish!

Mdee alishiriki vikao vyote, na kwenye hiyo list ambayo ilichaguliwa I'm sure nyie wapiga kelele mngepiga kelele Zaid
 
Ulishasema na nani, ndio kusema ushahidi wako ume base kwenye mawazo ya mleta mada kwa evidence zipi. Pua.

Subirini vichawa vyenu vinyolewe ndipo mtakapojua kumbe hamuijui Chadema.
Sisi hatulitambui hili bunge hili na wabunge wake ni batili kabisa yaani .. Hatutaki sisi na huyu Mdee na wenzake hatuwatambui

Haya sasa leteni majina mapya ili mlitambue bunge na mpate ruzuku na uchaguzi ulikuwa safiii sana eeeh..
 
Kila chama na strategies zake, kama CCM waliona ili kuendelea kutawala ni kuiba kura kwanini Chadema wakitumia mbinu wanazoona wao zitawasaidia kwann tuwaingilie?
 
Bange hii
 
Kwamba ulichoandika ndo kiko kama hivo!
Sasa kama ndo hivo kungekuwa na kikao cha nini?
 
Aisee uchawa mwingine nikujishushia heshima.Mdee akapenya hadi magerezani within I 24hrs wabunge wateule wakaapishwe.Kwa hiyo Mdee alikuwa na nguvu kuliko Simba wa Yuda.
Nimeshangaa mie pia.
Ameandika kama vile katumwa kusambaza kujikinga au ndo Halima mwenyewe?
 
Uongoz wa Chadema ulienda kuvunja gereza na kumtoa Hanje akaapishwe na Ndugai?? Kwani unatumiaga nn kufikir??
 
Kwa hii thread yako, umehitimisha tuhuma kuwa covi19 waliingia bungeni kwa kufoji
 
Hapo Ndugai alihusika 100%
Kwa kufanya matendo ya kuminya haki pamoja na madhambi mengi aliyoitendea CHADEMA na wana CHADEMA na wapinzani wengine, Ndugai anatakiwa kuomba msamaha hadharani na KUTUBU.
Hii itasaidia kuweka sawa na kusahihisha mambo mengi aliyoyavuruga na kuyapindisha kwa makusudi kama vile kuwaweka Bungeni hata waliyojiuzulu wenyewe kutoka vyama vyao. Mungu wa haki yu hai na ana subira.
 
N
Nani alimtoa Nusrat jela tena usiku?? Ili aapishwe kuwa mbunge!!
 
Maelezo yako, hayawezi kumwingia mtu mwenye akili timamu.

Yaani Mnyika asaini barua halafu aikatae? Nani aliyemtoa aliyekuwa gerezani haraka ili akaape?

Lazima mtu awe hana akili kabisa kuyakubali maelezo yako haya. Ni uwongo uliotengenezwa na mtu asiye na akili. Ukiwa na akili, hata ukiamua kuandika uwongo, angalao utakuwa unaelekea kuwa karibu na ukweli.
 
Ngoja tuone leo kama Covid-19 wataendelea kuwepo kama wabunge kwa amri ya mahakama ama Chama kitawasamehe.
kwa vyovyote vile najua wataendelea kubakia Bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…