Mdee na Wenzake leo kumwaga mboga kwenye Baraza Kuu

Leo Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kitafanyika ambapo pamoja na mambo engine kitajadili rufaa za Wabunge maarufu kama COVID 19. Ila tu watu wajiandae maana COVID nao wamejiandaa kumwaga mboga.

Iko hivi, wakati wa kuandaa orodha ya Wabunge wa Viti Maalumu, kuliandaliwa orodha rasmi ikiwa na Mapendekezo ya Wanawake wa BAWACHA kila Mkoa kwa kuzingatia uwiano uliokuwa sawa na sifa kamilifu.

Ikakubaliwa kuwa orodha husika ikamilishwe ili kuwasilishwa Tume. Kilichotokea ni kwamba viongozi wa juu wa chama wakabadili orodha husika na kuwakweka akina mama wao.

Ikumbukwe kuwa barua rasmi ya KATIBU MKUU MNYIKA ya kuwasilisha majina Tume ilikuwa imeshasainiwa na kilichokuwa kinasubiliwa ni mawasiliano ya mwisho ya orodha. Usiku ule ambapo viongozi wa juu walipobadili majina, Sekretari wa makao makuu akamjulisha Mdee kuwa wakubwa wana orodha mpya, hapo ndipo MDEE akaona mbwai na iwe mbwai yaani utoe akina mama wapambanaji uje uweke akina joyce mukya na grace kiwelu ambao wala hawakukipigania chama.

Umafia ukafanyika MDEE akatengeneza orodha ya akina mama waliogembea majimboni akachukua na barua rasmi iliyosainiwa na MNYIKA akapeleka Tume.

Leo mboga itamwagwa ikiwa ni pamoja na kubainisha orodha ya akina mama wenye connection na wakubwa wa CHADEMA ambao ndio wakubwa walitaka wawe wabunge.

Kwa hatua hiyo wenye kujielewa leo watafanya maamuzi ya haki bila upendeleo kwa pande zote husika.
Wewe Acha uongo kaa Kwa kutulia hivi mtakua wajinga hivi mpaka lini
 
CHADEMA💥 wako busy kupiga selfie 🤳 Mlimani City watupie kwenye mitandao. 😁

-Kumbe wanapenda majengo mazuri? Sasa mbona miaka 30 wameshindwa hata kujenga Headquarters wanapangisha ubavu vichochoroni?

- Hiki ndiyo chama kinategemea tukipe dhamana kuongoza nchi?

NEVER!
Weka picha au taja jengo moja tu mulilojenga nyie wa kijani.
 
Leo Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kitafanyika ambapo pamoja na mambo engine kitajadili rufaa za Wabunge maarufu kama COVID 19. Ila tu watu wajiandae maana COVID nao wamejiandaa kumwaga mboga.

Iko hivi, wakati wa kuandaa orodha ya Wabunge wa Viti Maalumu, kuliandaliwa orodha rasmi ikiwa na Mapendekezo ya Wanawake wa BAWACHA kila Mkoa kwa kuzingatia uwiano uliokuwa sawa na sifa kamilifu.

Ikakubaliwa kuwa orodha husika ikamilishwe ili kuwasilishwa Tume. Kilichotokea ni kwamba viongozi wa juu wa chama wakabadili orodha husika na kuwakweka akina mama wao.

Ikumbukwe kuwa barua rasmi ya KATIBU MKUU MNYIKA ya kuwasilisha majina Tume ilikuwa imeshasainiwa na kilichokuwa kinasubiliwa ni mawasiliano ya mwisho ya orodha. Usiku ule ambapo viongozi wa juu walipobadili majina, Sekretari wa makao makuu akamjulisha Mdee kuwa wakubwa wana orodha mpya, hapo ndipo MDEE akaona mbwai na iwe mbwai yaani utoe akina mama wapambanaji uje uweke akina joyce mukya na grace kiwelu ambao wala hawakukipigania chama.

Umafia ukafanyika MDEE akatengeneza orodha ya akina mama waliogembea majimboni akachukua na barua rasmi iliyosainiwa na MNYIKA akapeleka Tume.

Leo mboga itamwagwa ikiwa ni pamoja na kubainisha orodha ya akina mama wenye connection na wakubwa wa CHADEMA ambao ndio wakubwa walitaka wawe wabunge.

Kwa hatua hiyo wenye kujielewa leo watafanya maamuzi ya haki bila upendeleo kwa pande zote husika.
Unateseka ukiwa wapi we mwanamke?
 
Hatari sn
Nchi hii inahitaji overhaul kubwa sana, kwa hiyo hapo washiriki wakuu walikuwa ni jiwe,msajili wa vyama, spika wa bunge na mkurugenzi wa mashitaka ( DPP). HALAFU SERIKALI HII HII TUTEGEMEE ICHUKUE HATUA KWA WABAZILIFU WA MALI YA UMMA? No wonder kina Kingai,Jumanne na kina Swila wanapeta tu na position zao za awali maana wana Siri nyingi mpaka kura za kwenye mabegi uchaguzi wa 2020.
 
haya hizo mboga umekula ?
 
Mfumo mbovu kupita kiasi
 
Back
Top Bottom