Mdee na Wenzake leo kumwaga mboga kwenye Baraza Kuu

Ndugai ni kichaa
 

Issue haisikilizwi upya. Ni Rufaa.
 

Umemaliza kesi. Kumbe mdee ndio aliyeteua majina.
 
Ngoja tuone leo kama Covid-19 wataendelea kuwepo kama wabunge kwa amri ya mahakama ama Chama kitawasamehe.
kwa vyovyote vile najua wataendelea kubakia Bungeni.

Wale wanahitaji huruma ya chama Bila hivyo hawanoi. Chama ndicho kinaamua wabunge wa viti maalum. Chadema a wanaweza teua wabunge wengine kwenye baraza kuu na kusiwepo shida nyingine.
 
Kosa kubwa alifanya mdee kutengeneza majina na kuyapeleka tume na kubeba hiyo barua... Huoni kama kaingilia kazi isiyo yake

Viti maalumu ni maalumu kwaajili wa vimada wa vigogo yeye kama alishindwa angetulia apambane msimu ujao

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Uongo
 
Mdee hana mboga yoyote mkononi, uzuri CDM ni chama cha watu/umma hakifi kwa Mbowe, Mnyika au nani kuondoka.
 
Hapo kitakachoangaliwa ni kama utaratibu ulifuatwa kwa mjibu wa Katiba ya Chama na Sheria za nchi.
 
Hamna noma yoyote hapo.
 
Utakuwa una JINO MOJA kwa Akili hizo hizo ni HADITHI za kwenye Vibanda vya Kuangalia Mipira na yule Aliyekuwa Mahabusu nani aliagiza atolewe Usiku?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
 
na tangu lini wasiokuwa wabunge COVID19 wakalazimishwa wawe wabunge bila kuwa wanachama wa chama cha siasa
 
Kajipange upya basha wewe. Yaani Mdee huyo huyo akawatoe Wafungwa Magereza na kumuambia spika awaapishie chumba cha uani? Wabunge wanaapishwa Ndani ya Bunge. Nyoko wewe.
 
CHADEMA💥 wako busy kupiga selfie 🤳 Mlimani City watupie kwenye mitandao. 😁

-Kumbe wanapenda majengo mazuri? Sasa mbona miaka 30 wameshindwa hata kujenga Headquarters wanapangisha ubavu vichochoroni?

- Hiki ndiyo chama kinategemea tukipe dhamana kuongoza nchi?

NEVER!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…