Mdee na wenzako 18 nendeni mkaipate haki yenu Mahakamani

Wanawake mashujaa wa Chadema waliofukuzwa kihuni, Halima Mdee na wenzake bado wana nafasi ya kuipata haki yao.

Nawashauri waende mahakamani kuipata haki yao.

Kilichotokea kwenye mchakato wa kuwafukuza uanachama ni uhuni kwa kuwa katiba ya Chadema haikufuatwa tangu kikao cha CC ya chama.

Baraza kuu pia alikufuata utaratibu wa kikatiba jinsi ya kuwasikiliza na kufanya maamuzi.

Bado tunawahitaji wanawake hawa wa shoka. Mahakama zetu zitatenda haki.
Kwani lazima wawe wanachama wa CHADEMA?
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
 
Naunga mkono hoja, japo sio kila haki hupatikana mahakamani, haki nyingine ni karma tuu ndio itashughulikia!, tena baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Kwanini hutaki waje CCM umeng'ang'ania wabaki CHADEMA? kwani walizaliwa na CHADEMA? wapeleke hata ACT au umoja party
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Wapokee hukohuko CCM CHADEMA hawawataki
 
Naunga mkono hoja; maamuzi yamefanyika bila kuzingatia katiba ya chama na hata katiba ya nchi.

Nina hakika watashinda mahakamani kama ambavyo Zitto Kabwe alishinda

Mara nyingi CHADEMA huwa hawazingatii hata vipengele vya katiba yao linapokuja suala la maamuzi kama haya LAKIN UTASIKIA WANATAKA KATIBA MPYA😀
Waje huko kwenu umoja party. Over
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Mkuu mbona unakuwa kama JUDGE?
 
Hao wataendelea kuwa wabunge wa Chadema, wakienda mahakamani wanashinda mchana kweupe sababu utaratibu wa kuwafukuza ulikuwa wa kihuni haukufata katiba.
Wakitoka hapo wanafukuzwa tena , katiba ya chadema hairuhusu ilo , either way hakuna kinacho wasaidia
 
Hata wakishinda huko mahakamani, ukweli ni kuwa jamii ya wanachadema haiwataki. Wakatafute sehemu nyingine ya kula. Hilo ndio hitimisho na waache kulazimisha yasiyo wezekana.
 
Mbowe ametumia udikteta ,upigaji kura haukuwa wa huru na haki Sabaya alikula mvua 30 lakini mahakama ikatengua.

Hata akina mdee wakipeleka ushahidi wa udikteta waliofanyiwa mahakama haitasita kutengua hiyo hukumu ya kihuni iliyojaa udikteta
Mtu yoyote ana haki ya kwenda mahakamani pia kufukuzwa chadema siyo kufukuzwa ubunge ni mpaka spika apokee barua na mhitasari ya vikao na aridhike.

Chadema wamepoteza wanachama alafu wewe unashangilia?

Au hujaona akina walivyokuwa wanashangiliwa.

Kwani chadema ina mvuto gani wa kisiasa sasa hivi?

Kimebaki chama jina tu
Hata Umoja party hajasajiliwa lakini ina mvuto kuliko chadema. Kama unabisha waambie waitishe maandamano au mkutano wa hadhara in short chadema ni past tense.

Yaani Watanzania uelewa umekuwa mkubwa sana wanajua kabisa nani kondoo na nani amejivika ngozi ya kondoo.

Hotuba nzima mbowe hajazungmzia mfumko wa bei
 
Mbowe ameamua kuwabomoa hata akina kamanda risu.
Naamini mbowe ni zito au mrema mwingine.
Wasipomtoa uwenyekiti hawawezi kupata matoke chanya.
 
Wameshakula vya kutosha,wawaachie akina mukya
 
Back
Top Bottom