Mdogo mdogo utabiri unatimia. UFUNUO 13:11-18

I am Christian,follower of Jesus Christ.I believe everything The Bible say and I believe Jesus is the only way to The Father.

If anyone had a chance of hearing the gospel and rejected Jesus for him/her there will be no excuse.
Hiyo ni imani yako na tunaiheshimu ila jambo la muhimu ni kuwa binadamu mwema na kutii sheria tulizojiwekea kama nchi bila kujali ule moto unaouamini unakuja.......

Sasa hivi tumehama kwenye kitambulisho cha picha tu na tuna kitambulisho kwa alama za vidole na umetii, zote hizi ni chapa ya utambuzi, kadri teknolojia inavyokua ndivyo teknolojia ya utambulisho inavyobadilika na kukua.

Tulianza na makaratasi tu, tukaja kadi, tukaamia alama za vidole na kadi na itafika kipindi teknolojia italeta mfumo mpya, ukileta ulokole na kuvunja sheria ulokole hautakuokoa na mikono ya sheria.
 
Ni kweli unachokiongea na mkristu wa kweli(mlokole according to you) hana sababu ya kuogopa hiyo mark of the beast,kwanza before that happens atakuwa raptured tayari.Lakini pia watu hawatakuwa tricked into accepting the mark,they will do it willingly.

But its important to know the signs that it will help people prepare themselves and give them drive to share gospel with more people since its near to the end.
 
Devil himself at its best
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Umeupiga mwingi sana Baba, nawa mikono ushukuru maana tayari ujumbe umeufikisha ipasavyo.

Kuamini au kutoamini kwao ni kazi ya Roho Mtakatifu na wakati wa kimbingu.
 
Umeupiga mwingi sana Baba, nawa mikono ushukuru maana tayari ujumbe umeufikisha ipasavyo.

Kuamini au kutoamini kwao ni kazi ya Roho Mtakatifu na wakati wa kimbingu.
Umeweka record safi kabisa.The work of the Holy Spirit is to convict people about sin,righteousness and judgement thats his Job.Asante sanaa.
 
Hiyo ni imani yako mkuu. Naiheshimu kama nivyoheshimu wanaoamini kuwa ukifa unazaliwa tena eneo lingine.
 
K

Kwani Biblia inakuzuia kutafuta Pesa?😲
Matthew 19:24 Again I tell you, it is easier for a camel to go through the eye of a needle than for someone who is rich to enter the kingdom of God.”

Inakatisha tamaa watu wasitafute pesa kuhofia hawatoweza kuuona ufalme wa Mungu
 
Hiyo ni imani yako mkuu. Naiheshimu kama nivyoheshimu wanaoamini kuwa ukifa unazaliwa tena eneo lingine.
Mtu anaweza kuja na kuniambia 2+2= 7,you can see he is wrong but its what he chose to believe.Its probably because he refused to learn or he never get a chance to learn. The smartest thing to do is to let him be.The fact that he believes the sum is 7 doesnt change the fact that the right answer is 4.
 
Ni watu duni ndio kwani uongo bob?

Hayo waliyoyasema miaka 2,000 na yanatokea waliyasema specific kwa kuyataja majina na tarehe ya siku yatakayotokea au waliya organize kwa kusema kiujumla?

Huo utabiri ni wakihuni tu kama ule wa mufti kwenye mvua, hataji tarehe ye anaitisha maombi afu mvua ikija apate la kusema kua imetokana na maombi yake
 
Matthew 19:24 Again I tell you, it is easier for a camel to go through the eye of a needle than for someone who is rich to enter the kingdom of God.”

Inakatisha tamaa watu wasitafute pesa kuhofia hawatoweza kuuona ufalme wa Mungu
Inakukatisha vipi tamaa kutafuta pesa?Jesus hakusema its impossible.
 
Unasoma Biblia?
 
Jesus didn't appear to him fella!!..he heard,his fellas saw light they couldn't understand
 
There are people who say Blue is not a color. You can't stop people thinking the way they want but that doesn't change the fact that Blue is a color.The same goes to Bible.
there's thousands of religions having the same perception

Kwa hiyo unakubaliana nazo kua madai yao kwamba vitabu vyao ni maneno ya Mungu ni kweli?
 
Jesus didn't appear to him fella!!..he heard,his fellas saw light they couldn't understand
I gave you a scripture reference what more do you want?I told you go and read Acts of the Apostles chapter 9 verse 5 to be specific.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…