Mdogo mdogo utabiri unatimia. UFUNUO 13:11-18

there's thousands of religions having the same perception

Kwa hiyo unakubaliana nazo kua madai yao kwamba vitabu vyao ni maneno ya Mungu ni kweli?
Bible is the only True Word of God.
 
Do you know Cyrus The King of Persia?He was mentioned by NAME more than 85 years before he even existed.He was mentioned by God through prophety Isaiah. And due to this Prophecy he allowed Israelites to return home.

Hata siku moja usiseme hv vitu vinatabiriwa jumla jumla.Ukisoma kwa utulivu utaona specific prophecies.
 
Ulivyomtema mate hadi na mimi umeniambukiza, yamejaa mdomoni na siwezi kuyameza yote haya mie.. ppptuuuh.... nzdah!
 
I gave you a scripture reference what more do you want?I told you go and read Acts of the Apostles chapter 9 verse 5 to be specific.
Paul the persecutor of Christian on his way to Damascus to do what he does the best,all over the sudden the resurrected Jesus appears to him!!!...and you believe that farse!!!..Paul said he fabricated things sometimes for his own credits
 
Hata kwako ni vivyo hivyo, mtu wa imani tofauti anaona unamwambia 2+2 ni 7. Wewe kuwa binadamu mwema waheshimu wa imani nyingine na tangaza imani yako pasipo kuzivunja sheria za nchi.
 
Kama unasoma na huoni tabiri zilizotimia basi unachangamoto kubwa.
Mimi sioni complex kwenye hizo ambazo mnaziita tabiri, kwasababu zipo based on calculations kwamba ina fahamika wazi kua kadri miaka inavyozidi kusonga mbele ndivyo ukuaji wa teknlolojia unavyozidi kutanuka.

Tabiri ambayo inatolea na maandiko ya Mungu ilipaswa iwe na complex zaidi kuonesha imetolewa kwenye chanzo kitukufu kisichokua na makadirio yani ingetaja aina ya vifaa na majina yake pamoja na mwaka specific ambao hivyo vitu vitagunduliwa

Hatutegemei kuona kitabu cha Mungu kinakuja na maneno rahisi tu kua mwisho wa dunia kutakua na vita na wakati hizo tabiri zinaandikwa tayari katika nyakati hizo kuna vita kibao zimepiganwa
 
Nao vipofu wakapata kuona tena
 

Attachments

  • VID-20211222-WA0083.mp4
    7.4 MB
Paul the persecutor of Christian on his way to Damascus to do what he does the best,all over the sudden the resurrected Jesus appears to him!!!...and you believe that farse!!!..Paul said he fabricated things sometimes for his own credits
If that story is false for you there isnt a true story for you.
 
Ndo mana nakwambia uansoma huelewi.
 
Duuuh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…