Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe waliopata zero hawapewi cheti? Sasa mbona mshenga Gwajima amedai ana cheti cha Bashite inayoonesha alipata zero na umeamini mkuu.mimi nilipata zero sikupewa cheti.
haya Bashite leta cheti chako upesi.
Kitwanga, bashitte na gwajima na huyo mdogo wake wanatoka call me Jaykatokea wapi na yeye
Huwa nasema kila siku upinzani hawajitambui!
Yani mwanafamilia kaja kuthibisha kwamba Gwajima ni tapeli, wewe msukule unaemuona kupitia tv unakuja hapa na porojo zako!
Nabii hakubaliki kwao ndiyo imekula kwao sasa. Kwetu sisi tunamkuba. Lete vyeti yote hayo hatuyahitaji.Swala la kufufua atajuana na waumini wake wanaojazana hapo kanisani. Swala la madawa limeshapata aliebobea na ukitaka kujua ana weledi hatujamuona akiuza sura, yuko ofisini anachapa kazi. Sasa suala la cheti limekuwa kindumbwendumbwe kazi ambayo haitachukua hata nusu saa imeanza kusababisha mpaka watu kuanza kupiga hela kama huyo kibaka mwingine anaetumwa kumsafisha mwizi wa taaluma.
Hawa wazaliwa wa Koromije hivi kwanini hawapendani? Yaani hata ndugu wa tumbo moja nao waanza kuchambana hadharani!
Yaelekea hakuna upendo wa kutosha kwa baadhi ya familia za KOROMIJE
Kwa ufupi
Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.
Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.
Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.
Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.
Nabii hakubaliki kwao. Imekula kwenu.sijui wengi wetu tuna akili za kushikiwa!, ndugu wa makonda kajitokeza mmewaamini waloyasema ila ndugu wa gwajima kujitokeza hamumuamini kazi kumponda!, haya ndo kashasema hajawahi fufua hata panya rubbish!..
Kashawahi kukufufulia hata ndugu/jamaa yako mmoja?, ama kila siku utamuamini anaweza fufua wakati huo kuhudhuria misiba na msemo "bwana ametwaa"..Nabii hakubaliki kwao. Imekula kwenu.
Kwa ufupi
Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.
Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.
Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.
Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.
Masuhala ya imani na Uaskofu wa Gwajima ni mambo binafsi lkn vyeti vya mteule wa Rais huyu ni mtumishi wa umma. Analipwa mshahara kwa kodi zetu. Tunataka vyeti msituingize ktk ubashite wenu!Dah! huyu ndiye ndugu yake anayemfahamu in and out " hajawaki kufufua hata panya" ila waliokutana naye bongo ndio wanajifanya kumuamini. Kamrarua ile mbaya
unaakili mingi sana wewe.Ni kweli mdogo wake au sio kweli? Tuanzie hapa