Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Hapoo chacha.

"....upendo wa wengi utapoa.......ndugu watasalitiana....." Yesu

Hiyo yote ni kujipendekeza tu kwa magufuri!
 
Naona amewezeshwa.
 
Ha ha ha!!!! Kabisa mkuu. Kufufua sisi hakutuhusu. Tunataka sera ya mheshimiwa raisi itekelezwe. Vyeti tu.
 
Kwahiyo huyu nae latokea KOROMIJE
INAbidi apimwe uwezo wake wakufikiriiii kidogooo inawezekana naye kagushi vyeti.....??
 
Hivyo watu hawana Imani na commission ya Sianga? Hao si wamewekwa hapo na Rais baada ya kufanya vetting. Na hiyo tume inafanya kazi, maana kamishna mwenyewe alimpokea Rais alipotoka kusini na bila Shaka anaendelea kum brief mh Rais. Hivi vya vyeti ni vita ya Rais ya kuhakiki vyeti au mnataka Rais ashindwe? Atawawajibishaje wengine akimwachia huyu? Yeye atulie tu. Amwache kaka yake asaidie polisi kufichua waovu.
 
Mtu wa Mungu akiongozwa na Roho wa Hekima na Maarifa; Roho wa Utambuzi na Maono; Roho wa Ishara na Maajabu; Roho wa Nguvu na Uweza anaenda kutoa neno soon. Ole ni wao mamlaka za kuzimu!
Uwiiii nafwa kwa mbavu!!!!! Ha ha ha!!! Tena nimetoka kwenye stress hebu nijistressless!!!!!!
 
Makonda alimaleze tu hili jambo kwa kuweka vyeti mezani. ......kama hana cha shule aweke ata cha clinic! !!!![emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kama mwana Kolomije aseme jirani yake huyo huko kijijini anamfahamu kama Paulo Makonda au Daudi Bashite.
Mambo ya madawa sasa hivi yako kwenye mikono husika mweshimiwa Sianga kwa hiyo hoja ya uhalali ya vyeti vya Makonda bado ipo palepale na kamwe isihusishwe na madawa.
 
Kwa mfano angetuhumiwa yeye ingekuwaje? Kweli msiba usikie kwa mwingine! Haya yeye anasema tuache siasa na hili halina chama, lakini yeye kaanza kwamba ni kada wa chama ccm! Shatap!
 
Wanamsema vibaya tuu Gwajima, ati kashindwa kufufua hata panya! mbona kafanikiwa kumfufua Daudi Albert Bashite?
 
Hapana jamani naongea ukweli imeandika mtawajua kwa matendi yao yapi hayo kuubr makonda 24hrs mmmh
 
kumbe! Basi anatumiwa vibaya na anajua bado tuko enzi ya redio za sauti ya mkulima!
 
Wanamsema vibaya tuu Gwajima, ati kashindwa kufufua hata panya! mbona kafanikiwa kumfufua Daudi Albert Bashite?
Ha ha ha!!!!! Kweli mkuu tusingeyajua ya daudi bashite na vyeti vya kufoji kama sio gwajima kumfufua.
 
Hata wakati wa ishu ya Dr. Slaa aliibuka kumpinga kaka yake.
Watakuwa na magomvi ya kifamilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…