Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Sasa mimi hapa huwa siwaelewi. Kama wanauza si wakamatwe? Au kutangaza ndio vita vyenyewe? Na kama huyo Daudi si kolomije kweli, si angeshaonesha vyeti?
Vyeti ni vya kwake, kasoma yeye, akuonyeshe wewe vyeti vyake? kama unapenda mabago ya kutangaza vyeti vyako tangaza wewe yeye vyakwake mamalaka iliyompa ajira inavijua na wakataka kuvihakiki tena watamjulisha na atawapelekea.
 
Huyu naye ana matatizo; yaani Gwajima atuhumiwe hadharani kuwa drug-dealer halafu anyamaze tu? How? Very very wrong approach ya kujisafisha na tuhuma za wizi wa vyeti ...
Ukituhumiwa unajibu kwa tuhuma, malezi gani ya kimila, utamaduni na dini umepata?
 
Mtaongea lugha zote na kumtetea huyo kihiyo lkn ili Gwajima aoekane muongo wekeni vyeti,lkn hata mseme nini Daudi anahitajika ashitakiwe mahakani kwa kutumia cheti cha MTU mwingine ni kosa kisheria.
 
Huyo sio mdogo wake kwakweli...yani ndugu yako wa dam kabisa anatuhumiwa kuuza unga anadakwa na kulala central ...badala ya kumsaidia unasema ujinga kama huo..ety serikali inamlea sana Gwajima....ety anatuhumiwa vingi sana...hajamfufua baba wa watoto yatima ....huyu ni mjinga....kwaiyo anaisapport serikali imkandamize kaka yake...imfunge...imtuhumu kwa kuuza unga...huyu dogo anabidi akapimwe akili...Na sidhani kama ni mdogo wake wa kweli
 
Sasa mimi hapa huwa siwaelewi. Kama wanauza si wakamatwe? Au kutangaza ndio vita vyenyewe? Na kama huyo Daudi si kolomije kweli, si angeshaonesha vyeti?
Kama unaamini ana vyeti vya kugushi, kuwa jasiri wende ofisini kwake akuoneshe siyo kuviomba nyuma ya keyboard. Akikuonesha ni vyeti feki urudi humu jamvini kutupasha
 
Nae aliitisha press conference ?
 
jina la huyu mdogo wa gwajima ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…