Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

...

Bashite aweke vyeti mezani hatutaki blah blah

Daudi Mchambuzi, nawe usiwe kasuku kila siku kurukia jambo usilokuwa na uhakika nalo.

Kwanza Bashite ni nani? Kama humjui nyamaza. Kama unamjua na unataka vyeti vyake kuviona, mfuate akuoneshe, ujiridhishe, kisha urudi hapa jamvini kutujuza.

Najua huna ujasiri huo ila kujificha nyuma ya keyboard na kulalama tu.
 
Vita ya madawa ya kulevya ina uhusiano gani na vyeti vya kufoji???Mnapiga marufuku viroba, lakn mnaendelea kutoa hoja kama wanywa viroba... you never stop amazing me.
 
Vyeti si hoja, hoja iliopo mezani ni madawa ya kulevya-tuelekeze akili zetu kwenye madawa.
 
Mtoa mada anatumika. Na si ajabu ni jitu tu linajifanya ni ndugu Wa Gwajima. We mtoa mada to a uzi wako humu ndani. Tunataka vyeti tu vya DAUDI BASHITE bass hatun kingine. Kama ni mambo ya mdawa Raid kishateua kamisheni ndo yenye mamlaka.
 
Habari za Gwajima sijui kafufua panya sijui nini hatutaki kuzijua. Habari za madawa Kamishna Sianga Ana pambana, na Vita tuna iunga mkono 100%. Tunachotaka kujua ni Vyeti jamani, Vyeti Viwekwee mezani dah nini ambacho haki eleweki hapa jamani. Wewe uwe mdogo wake usiwe hatutaki kujua Tunachotaka Kujua ni VYETI /CERTIFICATES ZA Elimu.
 
Suala la msingi ni vyeti tu watu wengine walibakiza mwaka kustaafu lakini vyeti vya form four vimewaponza na kama yeye hawezi jitetea serikali imsafishe kwa kutaja secondary aliyosoma na jina alilotumia na ikiwezekana hats kutaja walimu wake na classmates wake
 
Kwa ufupi mdogo wake mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima amesema mchungaji Gwajima anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.

Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.

Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.

Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.

Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.




!
!
atakuwa na bifu la kifamilia....kwanza kachakaa sana huyu mdogo wake Gwajima, mimi nilijua ni babu yake gwajima...kumbe huyu ni mdog!/ maisha yanaonekana yamemchapa sana huyu bwana
 
Mtumishi wa Mungu kuchafuliwa hizo ndizo sifa zao na hawapaswi kuanza tarabu wapo watumishi kwenye biblia inawasema samehe saba mara sabini Stefano kupigwa mawe kwa mtumishi kawaida haihitaji kisasi
 
Daudi Mchambuzi, nawe usiwe kasuku kila siku kurukia jambo usilokuwa na uhakika nalo.

Kwanza Bashite ni nani? Kama humjui nyamaza. Kama unamjua na unataka vyeti vyake kuviona, mfuate akuoneshe, ujiridhishe, kisha urudi hapa jamvini kutujuza.

Najua huna ujasiri huo ila kujificha nyuma ya keyboard na kulalama tu.

punguza jazba wekeni vyeti mezani.

hapa vyeti tu.
 
Suala la msingi ni vyeti tu watu wengine walibakiza mwaka kustaafu lakini vyeti vya form four vimewaponza na kama yeye hawezi jitetea serikali imsafishe kwa kutaja secondary aliyosoma na jina alilotumia na ikiwezekana hats kutaja walimu wake na classmates wake
Kuna mamlaka za kuhakiki masuala ikiwa ni pamoja na vyeti, siyo akina nyie wenye "ID fake" kudai kuoneshwa vyeti. Mwonyeshwe vyeti kama nani!

Na kwa taarifa yako na wenye kiherehere kama wewe, kutaka kuona hivyo vyeti, nendeni kwenye mamlaka husika mtaoneshwa, au mumfuate wenyewe awaoneshe kama mnao ubavu huo. Kelele tu za mbwa mwoga kubweka.

Debe tupu lazima livume hata kwa upepo mdogo.
 
Ni sawa hajawahi kumfufua hata panya, lakini kamfufu Daudi Alberti Bashite alifia Nyegezi fisheries na kuzikwa kwenye jeneza la Paul Christian Makondaaaa kisha kufufuliwa akiwa Region commissioner.
 
Alikuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni hamkuona kuwa alifoji vyeti?


akateuliwa kuwa mkuu wa mkoa hamkuona? hadi ameanza mapambano ya dawa za kulevya ndo mnaibuka?

Shame on you....

Magufuli acha kijana achape kazi.
 
Back
Top Bottom