Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly that was the question supposed to be asked. Habari za yaachiwe mamlaka, ni mamlaka hipi hiyo na toka hizi kelele zimeanza kupigwa inamaana hiyo mamlaka imelala au bado inatafuta tu?Kama kweli yeye ni mdogo wa Gwajima bila shaka nae ni mkazi na mzaliwa wa Kolomije, naomba kujua je hilo jina la Daudi Albert Bashite ni la kweli au LAA!?
Swala la kufufua atajuana na waumini wake wanaojazana hapo kanisani. Swala la madawa limeshapata aliebobea na ukitaka kujua ana weledi hatujamuona akiuza sura, yuko ofisini anachapa kazi. Sasa suala la cheti limekuwa kindumbwendumbwe kazi ambayo haitachukua hata nusu saa imeanza kusababisha mpaka watu kuanza kupiga hela kama huyo kibaka mwingine anaetumwa kumsafisha mwizi wa taaluma.Ha ha ha!! Umenichekesha kweli. Hajawahi kufufua hata panya!!!! Ila hapa vyeti tu!!!! Mpaka kieleweke.
Sio mwanasiasa huyo kusema labda kachaguliwa na wananchi. Ni mteuliwa na aliyemteua ndio anapaswa kuona vyeti vyake. Sasa wewe kama ni whistleblower si tayari umeishatoa taarifa???Me sija ajiriwa na mtu mkuu, Mkuu wa mkoa ni mtumishi wa wananchi kwani kuna ubaya akituonesha vyeti?
Kwa ufupi
Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.
Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.
Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.
Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.

huyu jamaasijui kaibuka kutoka wapi... video nyingine...
Issue ya madawa ya kulevya sasa anayo mwenye weledi,uwezo,nia ya dhati na nyenzo za kuipigana,Mzee Sianga. Ni utahira tu unaofanya mtu afikiri kuwa vita ya madawa ya kulevya inapiganwa kama "team kiba v/s team diamond",kwenye media.Sisi watz tumechoka na ujinga wenu hoja ya msingi hapa ni.madawa ya kulevya ni siyo ujinga wenu .