mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
kama ni hivyo tuanze na aliyekamatwa china,Mtanzania gani wewe mpuuziSisi watz tumechoka na ujinga wenu hoja ya msingi hapa ni.madawa ya kulevya ni siyo ujinga wenu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni hivyo tuanze na aliyekamatwa china,Mtanzania gani wewe mpuuziSisi watz tumechoka na ujinga wenu hoja ya msingi hapa ni.madawa ya kulevya ni siyo ujinga wenu .
Hayo Mambo ya wizi WA vyeti una ushahidi au unajiongelea tu? Kwanini huyo Gwajima ameshindwa kuleta ushahidi hadi Sasa?Huyu naye ana matatizo; yaani Gwajima atuhumiwe hadharani kuwa drug-dealer halafu anyamaze tu? How? Very very wrong approach ya kujisafisha na tuhuma za wizi wa vyeti ... Tuhuma za kugushi vyeti zinasafishwa kwa kuweka vyeti hadharani na sio kwa kum-attack Gwajima personally.
umemfaham gwajima juzi tu then unalopoka uliza wengine tunamfaham tangia 1996 anaanza kanisa ubungoLet time decide, ni mapema sana kusema gwajima is completely clean, kama anatumia cover ya uchungaji inahitajika juhudi ya ziada na muda ili kumpata na hatia, naimani hata hiyo mamlaka iliyoundwa itakuwa inaendelea kumtazama kwa karibu. Halafu namshauri rais huyu jamaa wamchunguze kwa karibu kuhusu vyanzo vyake vya mapato asituone watanzania mambumbumbu, na kwa mtu mwenye akili timamu ukimtazama mara moja tu utagundua huyu anatumia dini kama cover, am telling you guys huyu gwajima siku zake si nyingi atakuwa exposed, mark my words kuna siku mtaikumbuka hii comment, za mwizi always ni arobaini , watu tuache kuwa misukule tufungue macho sio "tunapopelekwa tu tunakwenda kama ming'ombe"
vyeeetiiii!!Sasa mimi hapa huwa siwaelewi. Kama wanauza si wakamatwe? Au kutangaza ndio vita vyenyewe? Na kama huyo Daudi si kolomije kweli, si angeshaonesha vyeti?
Leta cheti habari ya msukule utajuana wewe na Gwajima huko huko.Huwa nasema kila siku upinzani hawajitambui!
Yani mwanafamilia kaja kuthibisha kwamba Gwajima ni tapeli, wewe msukule unaemuona kupitia tv unakuja hapa na porojo zako!
Kwani unakula panya?MODERATORS ILE VIDEO YA AWALI ILIYOCHUKULIWA KWA SIMU MMEIPELEKA WAPI? HII MLIOIWEKA HAINA KILE KIPENGELE MUHIMU KUWA " HAJAWAHI KUFUFUA HATA PANYA"
Ndugu wanajuana - Wakisema waanze kusemana hadharani kama Rose Kamili na Dk Slaa, Gwajima atabaki tu na waumini alionao ( Maana kashawaradicalise ) ila kupata waumini wapya huenda ikawa ngumuhahahaha natamani gwajima ashike kipaza sauti amjibu HUYO MDOGO WAKE
Mimi kinachonishangaza ni pale Mchungaji anapokuwa na UTAJIRI wa kutisha wakati waumini wake hawawezi kulipia hata 3,000 Ya PANGO LA NYUMBA - MANZESE KWA MTOGOLEVyeti!!!
Kwani na yeye huyu ana vyeti?
Halafu huyu ni kama hawaivi na Ndugu yake anaonekana ana gubu na maendeleo ya Ndugu yk