Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe nyani?? Nenda mahakamani...wale wanasheria makamanda watakusaidia.Kufoji chochote ni kosa la jinai na hukumu yake ni miaka 7 mpk 15. Kwanini asijitokeze mtu akafungua kesi dhidi yake akiwa na ushahidi unaosemekana upo kwa gwajima? Wengi wanatarajia atoe vyeti hadharani je kama kweli amefoji atakubali kutoa vyeti aumbuke? Na je asipotoa kabisa itakuwaje?
Kwa ufupi
Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.
Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.
Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.
Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.
Siwezi kwenda kwa sab sijamtuhumuKwani wewe nyani?? Nenda mahakamani...wale wanasheria makamanda watakusaidia.

Kwanini unataka atoe cheti hadharani kama hujamtuhumu??Siwezi kwenda kwa sab sijamtuhumu
Nawashauri wanaomtuhumuKwanini unataka atoe cheti hadharani kama hujamtuhumu??
Hoja ya msingi si forgery mkuu. Hoja ya msingi ni madawa ya kulevya. Msitutoe katika reli.Hilo tamko limeandaliwa wapi na nani? Je, hoja ya msingi ya forgery ni kweli au sio kweli? Hayo mengine wala watanzania hawahitaji kuyajua. Nguvu zooote anazotumia hapo si angeweka vyeti mezani akammaliza kabisa Gwajima forever and ever? Vinginevyo, this is another justification ya tuhuma za wizi wa vyeti. Yaani ndio anazidi kummaliza kabisa Bashite! Ha ha ha; kuna watu wapumbavu sijawahi kufikiria.
Daudi Mchambuzi, nawe usiwe kasuku kila siku kurukia jambo usilokuwa na uhakika nalo.
Kwanza Bashite ni nani? Kama humjui nyamaza. Kama unamjua na unataka vyeti vyake kuviona, mfuate akuoneshe, ujiridhishe, kisha urudi hapa jamvini kutujuza.
Najua huna ujasiri huo ila kujificha nyuma ya keyboard na kulalama tu.
Jamaa nimesoma naye pia. Sikujua jina lake lingine ni Gwajima.
Hahahahaha
Huyu Jamaa anaitwa Joshua Chiwanga nimesoma naye kwa nimjuavyo mimi wala hana undugu na Gwajima...Labda undugu wa kupewa ili ifanyike Press Conference ya kumtetea Gwajima.....
Hahahaha Joshua naona umekuwa mpunga ndugu yangu....Tukumbukane aisee!
Kama gwajima ni WA kuzungumza kwenye media Hata huyo anaruhusiwa usiforce watu wafanane,,,, acha tupate mautamu ya makavu live bhanaWe we sio mdogo wake mch Gwajima Ni mnafiki unaeingoja jehanam ya moto kwani kweli kama ni kaka yako usingeongea hayo kwenye hadhara ulishindwa nini kama kweli ni ndg yako kuongea nae faragha we ni mnafiki mbaya sana
Alivyochafuliwa Gwajima na madawa ya kulevya jambo ambalo hata ushahidi haukupatikana uliona ni sawa? We sio ndg yakeee.