Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Huyo sio mdogo wake kwakweli...yani ndugu yako wa dam kabisa anatuhumiwa kuuza unga anadakwa na kulala central ...badala ya kumsaidia unasema ujinga kama huo..ety serikali inamlea sana Gwajima....ety anatuhumiwa vingi sana...hajamfufua baba wa watoto yatima ....huyu ni mjinga....kwaiyo anaisapport serikali imkandamize kaka yake...imfunge...imtuhumu kwa kuuza unga...huyu dogo anabidi akapimwe akili...Na sidhani kama ni mdogo wake wa kweli
Wanasemaga mchawi ndugu.

kwan huyo mdogo wake ana njia ya kusafisha vyeti au? haijalishi aliye sema swala ni kwamba jamaa anakula jasho lake au la mtu mwingine?

Bashite hasafishiki kamwe,mmemtorosha baada ya kelele nyingi kwenye mitandao sasa mnaleta mashahidi wa kununuliwa,hii ngoma bado mbichi tutamwandama Daudi Albert Bashite hadi wahusika watakapo toa tamko juu ya jinai aliyofanya huyu Bashite.

Vita ya madawa ni endelevu na iko chini ya tume.......Makonda alete vyeti..............hakuna kututoa focus hapa

badala ya kujenga barabara , mnawapa fedha wapumbavu kama hawa waongee upupu kama huu

Kwa ufupi

Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.

Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.

Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.

Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.

Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.

Biashara ya madawa ni haramu na hatari sana! Pia suala la kughushi cheti nalo ni hatari kwa vijana wetu pia! Kwani vijana wataona hata ukifeli ni rahisi kughushi na maisha yakaendelea! Lets say no for all! Tusiweke double standards

Nawe usiwe kipofu na kujilazimisha kuziba maskio hoja iliyopo ni ya madawa ya kulevya na na suala la kujua jina halisi la mkuu wetu Wa mkoa ni makonda au ni bashite aweke vyeti kwanza
Hiyo sio hoja, siku zote walikuwa wapi? hiyo ni akili ndogo kutawala akili kubwa-Kwani Makonda ameteuliwa2 baada ya madawa ya kulevya? Haya ni majungu2

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Kweli rupia mwanaharamu! Huyu naye dijui kaongea nini? Utakuta labda wamemlipa hata milioni kumi kusema hayo! Na anajiita mwanasheria! Loh Tanzania yetu! Wamwache baba askofu aendelee kutetea haki! Kwani walimchafua sana lazima na yeye ajisafishe

Hilo tamko limeandaliwa wapi na nani? Je, hoja ya msingi ya forgery ni kweli au sio kweli? Hayo mengine wala watanzania hawahitaji kuyajua. Nguvu zooote anazotumia hapo si angeweka vyeti mezani akammaliza kabisa Gwajima forever and ever? Vinginevyo, this is another justification ya tuhuma za wizi wa vyeti. Yaani ndio anazidi kummaliza kabisa Bashite! Ha ha ha; kuna watu wapumbavu sijawahi kufikiria.
Umebeba nafsi ngapi za watanzania hapo ambao hawataki kujua

Wote tunajua kuwa hajawahi kumfufua hata panya, lakini ukweli unabaki kuwa HAYO HAYATUHUSU. Movie inayotuhusu ni hii ya kutaka kumfufua David Alubeto Tarantini Bashkoooooolite.

Huyo anatafuta umaarufu tu, hana lolote.
Wewe vyeti vya makondo vinakuhusu nini na vina msaada gani ktk maisha yako

Huyu naye ana matatizo; yaani Gwajima atuhumiwe hadharani kuwa drug-dealer halafu anyamaze tu? How? Very very wrong approach ya kujisafisha na tuhuma za wizi wa vyeti ... Tuhuma za kugushi vyeti zinasafishwa kwa kuweka vyeti hadharani na sio kwa kum-attack Gwajima personally.
Yaani mwl.nyerere, baba wa taifa alijitahidi kweli ila nashangaa mijitu ilivyo mijinga nchi hii, hivi kweli hata kama ni yeye, awe ni public figure kama gwajima tena watu wanakuangalia ili wakufuate, halafu uchafuliwe tu kipuuzi bila evidence ukubali tu,
Ila huenda kufa kufaana hapo mtu nae kashashikishwa za kwake kwa ajili ya kutoa alilotoa, fursa [emoji2]
Mm natengeneza vibatari sasa hivi kwa kasi ili siku 14 zikitimia nikatengeneze utajiri zanzibar, nasema mapema mtu asije kujakunitaja nimeuza madawa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Wakibanwa wanakimbilia waachiwe mamlaka husika.
Serikali ni watu na watu wenyewe ndio sisi.
Tunataka Vyeti porojo hatutaki

Kweli jamaa ni madikini wa fikra jitathimini kwanza alafu utambue alama na nyakati pole sana broo unatakiwa kuombewa sio kosa lako

Kwa ufupi

Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.

Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.

Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.

Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.

Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.

Najiulza kwann xhadema imekuwa chama cha kutetwa mafisadi? chama cha kutetea wauza unga? chama cha kutetea viroba? hata wanachama wake weng wanatumia mambo hayo kasoro mie....Nna wasi wasi hata na viongoz ......Hii ni hatar inaonesha jns gan bado chadema haijawa tayar kuongoza nchi...ni hatar kwa chama kinachotetea uovu na kugeuza siasa......Gwajima hajawah kufufua hata panya ni kweli kabisa....kama yeye mfufuaji watu mbona hakumfufua dada yake mbowe alipofariki?so gwajima n tapeli? okay Hakuna mwehu ambaye atasema me mdogo wake gwajima ikawa n uongo kwa mtu maarufu kama yule...waacheni ndugu wapakane.....safi sana

Kwa ufupi

Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.

Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.

Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.

Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.

Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.

Akwende zake! vyeti kwanza!

Back
Top Bottom