Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Rangi halisi ya chadema inajionyesha sasa.

Full kutetea ujinga
 
ata sija mwelewa tuachie mamlaka husika asa mbona Bashite ile vita aliingilia hakutaka kuiachia mamlaka husika mpaka mambo ya kawa mambo ndiyo akaiachia mamlaka husika usikurupuke we need point kama leo utasema tuiachie mamlaka husika uje uniambie wajibu na kazi za mkuu wa mkoa
 
amesoma gepu anataka tumia chance hii naye awe maarufu au apewe kacheo!! Itakuwa ngumu
 
bongo nayo....mara...njaa...mara...madawa ya kulevya...mara....vyeti....mara...viroba....mara...yani ni michosho tu....nikikumbuka ule uzushi wa LOLIONDO....ndo nachoka kabisa.....
 
Nimemsikiliza kwa makini huyu Mwanasheria, lakini bado nimeshindwa kuelewewa ni akina nani waliojitokeza hadhani wakaipinga hii vita ya madawa ya kulevya. Je ni kaka yake mchungaji Gwajima, au ni hawa wanaojadili mitandaoni?

Ni kitu cha ajabu kwamba, kila anyelijadili swala la vyeti la mheshimiwa RC wa Dar es salaam, sasa anaonekana ANAIPINGA hii vita ya madawa ya kulevya!

Mheshimiwa amejaribu kutuonyesha pia kuwa sisi watanzania, hatuwezi kutofautisha maswala haya mawili yaliyojitokeza hivi karibuni? Anajaribu kuonyesha kwamba, ukianzisha vita kama hii yenye umuhimu kabisa kwa jamii, si muda muafaka wewe kujadiliwa.

Counsel Gwajima akumbuke kwamba, Mheshimiwa RC alipanda jukwaani na kupaaza sauti, na akawatuhumu watu kadhaa. Vivyo hivyo, watu wamejitokeza na swala la vyeti, wamepaaza sauti dhidi yake, akiwemo mchungaji Gwajima ambaye ni mhanga wa zoezi lake. (What goes around, comes around, na dhambi ni dhambi tu)

Sina uhakika, lakini kwa mawazo yangu, nadhani kwamba vita ya mheshimiwa Makonda, imewagusa watu wengi, baadhi yao ambao walikuwa na historia yake, lakini hawakuwa na sababu za kuizungumzia.

Lakini ukweli utabakia kwamba, kuzungumza kwao kuhusu swala la vyeti vya RC, hakuwaondolei tuhuma hizo za RC, na hapa ndipo asipopaona, au asipotaka kupaona, Counsel Gwajima!

Eti anauliza watu walikuwa wapi siku zote wasiongelee swala la vyeti vya Makonda? Lakini pia hajiulizi siku zote Makonda alikuwa wapi asianzishe hii vita mapema? (Everything happens for a reason!) Counsel Gwajima, amenikumbusha kuhusu mwanasheria mwenzake anayesadikika kutaka kufungua kesi dakika za mwisho, ili kuusimamisha uchaguzi wa TLS.

Akumbumke kuwa, kila tukio lina mvuto wake, na kila zoezi lazima liwe na matokeo yake, na si lazima yawe yale yaliyotarajiwa na mhusika. Na kila raia ana haki ya kujadili, ilimradi havunji sheria.

Swali langu ni moja tu hapa kwa Counsel Gwajima:-
Mimi naamini kabisa kwamba ni watu wa kawaida sana wanoliongelea swala hili na vyeti, na hawana madaraka yoyote yale ya kiutendaji ya kuweza kuchukua hatua zozote zile stahiki. Je, kujadili, au kuongea kuhusu maswala ya vyeti vya RC, kunamzuiaje RC kuendeleza vita aliyoianzisha? Sitaki kujadili kama vita hiyo ilikuwa halali, au la!
 
Kisheria makonda Ana haki ya kumshitaki Gwajima kwa Sababu wenye mamlaka na vyeti mpaka ngazi ya upili( secondary school) ni NECTA TU ambao wpo chini ya wizara ya elimu.
hivyo necta ndio wenye mamlaka ya kuainisha ama Vyeti vya Makonda ni halisi au feki.
Msifanye ushabiki wa kisiasa kwa sababu sheria ipo active.
Lmao endelea n juu yenu
 
Umebeba nafsi ngapi za watanzania hapo ambao hawataki kujua
Read comments idiot. Do you real thinks all these IDs are mine?

Naona unatokwa mapovu, unajaribu kumjibu kila mtu kana kwamba unalipwa. Kodi zetu zinacount. Kama unakula kwa shemeji yako, tuulize wanaume tunaoamka alfajiri PAYE ni asilimia ngapi
 
Invisible tafadhali katika ile katiba pendwa ya jf member haruhusiwi kumtukana mwenzie naona mko busy pitieni hapa kidogo kuna kitu hakipo sawa comment ya juu hiyo.
 
Nikienda kanisani then nikagoma kutoa sadaka kwani kuna tra kule watanisumbua?. Haya ni mambo ya imani. Tafsiri za kiroho ni nzito. Yawezekana aliposema nitamfufua mkazama kimwili.Yesu alimwambia nikodem yafaa uzaliwe mara ya pili akadai niingie tumboni mwa mama tena?. Jamani ya kiroho ni mazito huenda kirohoroho tu.
 
hahahaha natamani gwajima ashike kipaza sauti amjibu HUYO MDOGO WAKE
Jpili ndo mwisho wake huyuu dogo.......eti nae anatumia vyeti feki afu co ndg wa damu ni wa ukooo.....gwajima nomaa sanaaaa
 
bado issue ya bashite na vyeti vyake feki ina-trend kwa kasi sana.

huyu poyoyo mjadala wake uliisha siku ile ile alipojitokeza kudai kuwa yeye ni mdogo wa gwajima.sijaona tena akijadiliwa,ni kama jamii imempuuza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mambo gani haya tena ugomvi wa familia mnaleta humu.....sisi tunataka cheti bhasii...mambo ya kufufua mijusi hatutakiiii hapa
 
Mimi huyu anaejiita mdogo wake Gwajima nashindwa kumuelewa. Kama anamaanisha kuwa gwajima anajihusisha na madawa si wampeleke mahakamani. Swala la msingi analolopinga gwajima ni namna alivyozalilishwa na wengine wote.

Hasa kwa kuzingatia kuwa nchi ina vyombo vya dola vinavyofanya kazi kisheria. Ambao hao ndio kimsingi ndio waliopaswa kulichunguza jambo na kisha kuja uthibitisho wa kiupelelezi, na sio kukurupuka na kuwachafua watu. Shame on ccm and Daudi Bashite.
 
Huyu naye ana matatizo; yaani Gwajima atuhumiwe hadharani kuwa drug-dealer halafu anyamaze tu? How? Very very wrong approach ya kujisafisha na tuhuma za wizi wa vyeti ... Tuhuma za kugushi vyeti zinasafishwa kwa kuweka vyeti hadharani na sio kwa kum-attack Gwajima personally.
 
Back
Top Bottom