Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Na ndio maana sina mpango kabisa wa kufunga ndoa na mtoto wa mtu, wakishapata cheti na mkiwa na mali wanakua na viburi sana.
Tatizo misingi ya utu na upendo kwa sasa ni ndiyo kwenye ndoa yamebaki maigizo tu,sijui miaka ijao Kama ndoa zitakuwepo getto life zitatawala sana Kama hakutakuwa na mkakati wa kurudisha Mila na tamaduni za zamani zilizokuwa zinaimalisha ndoa
 
ndoa inaharibuwa na watu wawili TU Mke na mume
 
Ndoa ni ya mke na mume asiongezeke mwingine Kasome maandiko Injili ya Marko 10:6-9
 

Hahahah naona yalipita ni kama hukumuoa. Mimi sishauri hata kwa asilimia ndogo ndugu kuja kuishi kwa ndugu mwingine bila ulazima wowote.

Mke wako hiyo hali ya vyumba viwili aliridhika nayo sana ndo maana alikuwa comfortable kumleta mdogo wake na angejifungua na mama mkwe angekuja. Hivi kuna ulazima gani mimba ya miez?

Eeeh, Mi nipo tofauti watu wengine huwa nawashangaa sana aisee.
Una mdogo wako hana kazi huko kijinini anakuja tu kukaa kwako hamna plan yoyote ya kazi, haumwi wala hana ishu yaani just kukaa tu.

Mi hapana. Nina wadogo zangu na nimewafundisha kupambana ya ela yote. Sijawahi ishi kwa ndugu japo hatukua matajiri ni ile hali ya kujengewa kujitegemea.

Mambo mengine tuwafundishe pia watoto wetu. Mara likizo kwa mjomba, mara kafeli anaambiwa nenda dar kwa shemeji yako.

Yaani mtoto wa form 6 anakuja kukaa kwa dada ake anaelala na shemej yake. Mimi hapana.

LABDA KUWE KUNA ULAZIMA usiokuwa na soln. Pia hizo hali za kujaza watu ili hali ndo unatafuta maisha panazidisha umasikini
 
Dah sijui umewezaje kwanza unakaa unamuangalia kabisa mnapishana ndani?? Huyo ilibidi mda huo aondoke akalale hata lodge.
 
Ndo tatizo la kumtamani kingono shemeji yako unaona sasa lazima weye ulimtamkia tu!!
 
Mimi huwa naitwa mkorofi bila sababu za msingi. Kwa mfano ningekuwa mimi ndio wewe huyo binti asingelala ndani usiku huo. Jinsi ulivyo mvumilivu umesema eti aondoke Jumatatu
Ningekuwa Mimi natafuta hela Kwa saaana, halafu nina walisha kwa sanaaa! mpaka wavembewe! napandisha mijengo km sina akili nzuriii!! migari km yote!! watoto nazaa weengi! mpaka wakome!!

ila sinto msahau!!
 
Timua wasikupande kichwani...
Anza na huyo mbuzi shemeji piga chini..
 
Hapa inaonekana dhahiri kichwa cha familia ni huyo mkeo, mdogo wake asingepata ujasili kama kichwa cha familia, ingelikuwa ni mimi wote ningewatimua siku hiyo hiyo au kesho yake wote wangefunga safari, ila kwa kuwa hapa imeonesha nani mwenye mamlaka pambana na hali yako
 
Huyo shemeji yako ukimlea hapo anaweza kukutoa roho. Anaweza akajiunga na panya road ili akupoteze warithi mali

Mbwa akizoeshwa vibaya huingia msikitini.
Samahani kwa mfano huo ila ujumbe umefika

Ila pia mke akizidisha dharau kuna mahali umelegeza. Ongeza mashambulizi mkuu
 
Tatizo ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…