Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mkuu fungasha virago wote dada, baba na mke na mwambie akafungue kesi ya talaka
 
Mpaka jtatu anasubiria Nini? safirisha mdogo mtu hata sa hv asepe, afu kaa na mkeo mkanye! Nikuambie tu Hakuna kitu kigumu kama kuishi na ndugu siyo upande wa mke Wala wa mume!
Awape elimu taratibu,kua Maisha siku hizi yamebadilika, familia siku hizi ni Baba,Mama na Mtoto/Watoto! Wengine wote mliobakia ni foreigner kwenye hiyo familia,wwe Ni wakuja na kuondoka tu,Wakazi wakudumu wapo wenyewe!!!!
 
Alishaondoka?
Au alibaki ili ule?
 
Hapa ilitakiwa wakati shemeji anamalizia kuongea awe amekula kata funua kama ni dera kavaa chupi ionekane akili ndio irudi
 
Mke akileta ndugu yake wa kike, huyo ni wa kuburuza mashine Kwanza, itakusaidia Sana kupunguza maneno maneno na pia mke akigundua ataacha kujaza ndugu. Wanawake wengi hawawez kukaa na jambo moyoni hivyo kukiwa na ndugu yake anakaa Naye atamshirikisha kila kitu pale. Sasa wewe muwah Kwa kumtembezea kitombo ndugu. Habari zote utazipata Kwa huyo ndugu
 
Vipi ulimsepesha au mliyajenga
 
Wakurya sio watu wa kuoa au kuolewa nao,washenzi sana hili kabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…