Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Kabisa broo.
Hapo umesema...kweli

Anasema yeye hawezi babaishwa na mwanaume yeyote na dada yake ndoa yake amekurupuka.
 
Wewe ni either shoga au taahira
 
Peleka wote nyumbani kwao kwanza wakashike adabu na talaka hamna kutoa
 
Huyo shemeji yako ulimtongoza nini?! Kwann akuletee dharau za gharama nafuu hivyo?!

Halafu hizi Ndoa za kulazimishana kubeba majukumu ya familia huwa zinakuwa na lawama za kijinga sana.

Huyo mkeo ni mjinga na hana hekima hata kidogo. Wewe kama ulikuwa unaweka faragha halafu yeye analeta ujinga wa kuongea na mdogo wake hiyo ni sababu tosha ya kumrudisha kwao akajifunze adabu.

Hapo asiondoke tu mdogo mtu waende na dada mtu ili akajifunze adabu. Na akikaa miezi 6 hajarudi au kuomba kurudi piga chini nenda katafute mke mwingine ujenge ndoa mpya.

Mwanamke mwenye dharau za kipumbavu usicheke nae atakuja kukusumbua sana huko mbeleni. Dharau katika mahusiano ni mwiko na ni kosa kubwa sana kucheka nayo.
 
Good!

Hivyo tatizo Sio shemeji yako.. Bali mkeo maana ndio anauza ramani.

Pole sana.. Yahitajika hekima ya hali ya juu sana kuvuka hapo.
Asante kaka kwa ushauri...
Na nime amini mauwaji kwenye mausiano hayawezi isha.Kwa Jinsi nilivyo sota juu ya hizi mali alafu leo wanaongea kirahisi hivi hapana asee nasema tena hapanaaa.
 
Anzisha moto sasa ivi amsha wote kama wamelala weka kikao sebreni wavimbie kiume nguruma, mind kasirika waambie kabisa jambo lililotokea linakunyima usingizi haiwezekani upuuzi kama huo utokee alafu ukawa kimya tu ndo maana wanakuchukulia poa

Unawezaje kulala Kmmk piga biti umo ndani huu ndo muda mzuri au subir ifike saa 7 night amsha wote wape attention moja yakibabe

Apo si nyumbani kwako onesha uanaume isitoshe hata kutombewa unatombewa sana tu we jamaa
 
Yaap...
Hapa naona hili Duka na lenyewe linachangia sanaa kumpa kiburi.
 
Naona mipaka baina ya familia yako na yao hakuna, mke anaamua analojiskia then ww unapewa tu taarifa.

Kuwa mwanaume.
Yaani shemeji mtu anatoa maneno mazito hvyo huyo ndoa itakuja mshinda mapema sana.

Halafu inaonyesha wakiwa wawili kuna ujinga mwingi sana wanakuzungumzia na mkeo kupewa kichwa.
 
Upande mwingine ni kweli...
Labda outing na ucheshi huwenda ukawa kosa kwangu asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…