Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

Hivi ni vile vifo vya wale watu maarufu tu! Chanzo utaambiwa ni ugonjwa wa moyo/presha/kisukari, nk. Vipi kuhusu wenzangu na mimi tusiofahamika na wala kujulikana.

Serikali imeamua kujificha kama yule ndege aina ya Mbuni! Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom