Excuse meWakwanza na wapili ni kina nani? Je umehesabu marehemu wa nchi nzima au kikundi fulani tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
basi wakajifukize kwenye wine sasaVigogo wengi hawana namna ya kupata miti shamba ya kujifukuzia. Wanaishi kwenye mahekalu ambapo wameotesha nyasi na maua ya kizungu tu.
Hapo sasabasi wakajifukize kwenye wine sasa
Hivi na uzee wote ule Lowassa ana mdogo kijana hivi, tena aliyesoma IFM juzi juzi ? Mods angalieni heading
View attachment 1433147
RIP Ben
Hivi na uzee wote ule Lowassa ana mdogo kijana hivi, tena aliyesoma IFM juzi juzi ? Mods angalieni heading
View attachment 1433147
RIP Ben
Atakuwa mwanaye.Hivi na uzee wote ule Lowassa ana mdogo kijana hivi, tena aliyesoma IFM juzi juzi ? Mods angalieni heading
View attachment 1433147
RIP Ben
Kwamba high class anaona ni mambo ya kishamba kubeba ma miti? Hili nalo neno yawezekana ndo wanaponda hapa Jf.Vigogo wengi hawana namna ya kupata miti shamba ya kujifukuzia. Wanaishi kwenye mahekalu ambapo wameotesha nyasi na maua ya kizungu tu.