Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Sisi tutatokea Amana wao watatokea Aghakan. Mungu baba tunusuru sisi waja wako.
Umeshafika kileleni?Excuse me
Nimeandika sawa sawa na taarifa zinazotolewa na vyombo vya habari na mitandao
Hiyo nchi nzima is non of my business
Tanzania tumejitahidi sana kuidhibiti corona. Hadi sasa ni watu 10 tu wamekufa. Na waliopata ugonjwa ni 299 tu. Hongera Jemadari wetu JPM kwa ujasiri wako na kuepuka copy and paste!R I P
Ha ha haaa kwa ile hali na hisi alipo hakuna kiumbe anafika zaidi ya mtoa hudumaDuh! Hatari sana hili dudu,
Lowassa mwenyewe mficheni jaman mzee wa kuunga juhudi bado tunampenda mzee wetu"
Mh...TANZIA: BERNARD LOWASSA AFARIKI DUNIA
> Mdogo wa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, ndugu Bernard Lowassa amefariki usiku wa kuamkia leo Aprili 28, 2020 katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar
> Inadaiwa alikuwa na matatizo ya kupumuaView attachment 1433228
Wamasai wanao wake wengi kwa poligani ni kawaid ndugu,Hivi na uzee wote ule Lowassa ana mdogo kijana hivi, tena aliyesoma IFM juzi juzi ? Mods angalieni heading
View attachment 1433147
RIP Ben