Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,257
- 8,178
Ila hao ni waoga hawana hata bima ya afya ni mwendo wa kujifukiza.Haya ni yale majina maarufu, Kuna wakina Anna Richard na Fatuma Salehe ambao wanazikwa usiku na municipal.
Ila hao ni waoga hawana hata bima ya afya ni mwendo wa kujifukiza.Haya ni yale majina maarufu, Kuna wakina Anna Richard na Fatuma Salehe ambao wanazikwa usiku na municipal.
Tuliambiwa hospitali zimejiandaa cha kushangaza ni kuwa wataalamu wa afya hawana hata vitendea kazi.Ila hao ni waoga hawana hata bima ya afya ni mwendo wa kujifukiza.
Tunaomba kujua na umri wakeLowassa amepoteza mdogo wake anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa usiku wa kuamkia leo hii kwenye hospitali ya Agha Khan.
Mungu ampumzishe mahali salama na aipatie nguvu familia ya marehemu.
Jamani hatuambiwi ukweli ni hatari mno chukueni hatua! Lazima watu waje wawajibishwe kwa hili!Corona imeamua kutuonesha kuwa si kaugonjwa kadogo,wiki ya kuzikana hii!
Chanzo cha kifo tafadhaliLowassa amepoteza mdogo wake anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa usiku wa kuamkia leo hii kwenye hospitali ya Agha Khan.
Mungu ampumzishe mahali salama na aipatie nguvu familia ya marehemu.
Amina maana sisi wote ni waja wakeJana walikua almost zaidi ya watano
Leo hii Ni habari ya tatu na ndo kwanza asubuhi..
Anyways hata kabla ya Corona vifo vilikuwepo
Mungu awape pumziko la amani...!!
Shida nini?
Isijekuwa Changamoto ya upumuaji.
R.I.P
Marehemu atazikwa na watu wasiozidi 10?
....Mbona wamefululiza ghafla hivi katika muda mfupi huu?Wamefika watatu
[emoji40][emoji40][emoji40] vip saut imesikika au ndio imezuiwa na barakoa[emoji2369]Hii yote uwe wa kwanza kuleta taarifa?