Vigogo wengi hawana namna ya kupata miti shamba ya kujifukuzia. Wanaishi kwenye mahekalu ambapo wameotesha nyasi na maua ya kizungu tu.Alipata ventilator na vipi kuhusu kujifukiza????
Wakwanza na wapili ni kina nani? Je umehesabu marehemu wa nchi nzima au kikundi fulani tu?Jana walikua almost zaidi ya watano
Leo hii Ni habari ya tatu na ndo kwanza asubuhi..
Anyways hata kabla ya Corona vifo vilikuwepo
Mungu awape pumziko la amani...!!
Sijui ila amekufa kutokana na tatizo la upumuajiMarehemu atazikwa na watu wasiozidi 10?
wamefika wa3 kutoka wapi Mkuu?Wamefika watatu
Aga Khan na wote kwa tatizo la upumuajiwamefika wa3 kutoka wapi Mkuu?