Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

Mbele yake nyuma yetu ....tujikinge na corona corona inauwa na ipo
 
:hawa tunaopost habari za vifo vyao Kumbukenp ni watu maarufu na wenye majina makubwa, habari za vifo vya wasulupwete haviwekwi humu, nna shaka CORONA Tanzania imeua kuliko China ilivowaua.
Ukiwa maskini ugonjwa huu utakuua na utazikwa bila habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigogo wengi hawana namna ya kupata miti shamba ya kujifukuzia. Wanaishi kwenye mahekalu ambapo wameotesha nyasi na maua ya kizungu tu.
Kwamba high class anaona ni mambo ya kishamba kubeba ma miti? Hili nalo neno yawezekana ndo wanaponda hapa Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…