Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

Pole kwa wote waliofikwa na Msiba huu.
 
Jana walikua almost zaidi ya watano
Leo hii Ni habari ya tatu na ndo kwanza asubuhi..
Anyways hata kabla ya Corona vifo vilikuwepo
Mungu awape pumziko la amani...!!
Amina maana sisi wote ni waja wake

In God we Trust
 
Bado kiduuchu.. Tuone kama ataendelea jificha chato..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…