Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

Mtoa roho nae kachangamka sana khaaaa!
Rest in Peace kijana.
 
1 kichuguu cha moto
2 Mafia
3 Morogoro
4 Mtwara
5 Tabora
6 Zanzibar
7 .............. Wakili
8 Arusha
9 Munduli
10 ........
11 .......
.
.
712 ......
Hapa ndio tunaanza kushtuka. Duh kumbe ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tumejitahidi sana kuidhibiti corona. Hadi sasa ni watu 10 tu wamekufa. Na waliopata ugonjwa ni 299 tu. Hongera Jemadari wetu JPM kwa ujasiri wako na kuepuka copy and paste!
 
Duh! Hatari sana hili dudu,

Lowassa mwenyewe mficheni jaman mzee wa kuunga juhudi bado tunampenda mzee wetu"
Ha ha haaa kwa ile hali na hisi alipo hakuna kiumbe anafika zaidi ya mtoa huduma
 
TANZIA: BERNARD LOWASSA AFARIKI DUNIA
> Mdogo wa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, ndugu Bernard Lowassa amefariki usiku wa kuamkia leo Aprili 28, 2020 katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar
> Inadaiwa alikuwa na matatizo ya kupumua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…