Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Jichanganye tu 😂Ww mwenyewe cocastic humjui vizur[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichanganye tu 😂Ww mwenyewe cocastic humjui vizur[emoji1787][emoji1787]
Nimekuja faasta... nipe mchongo nifanye ukaguziAsprini pita huku 😂😂😂
hahahaha, na atafeli kuitafunaHii ni special offer kwa kaka Coca tu
Yani wewe hata huwazi,na kujibu unajibu kabisa.Wala hata huo wivu cna. Tena naweza kumtafutia mie mwenyewee mwanamke wa kuwa nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba picha yake pmNi vile sheria za jf haziruhusu.ningewawekea picha yako hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwezo mnao sasa?? Mkisha choka kupovukwa humu mitandaoni, mnywe maji mengi na mpumzike.Wakenya wameonyesha njia nikuwakusanya tu kwenye matranka ngoja shule zifungwe
Sasa wee unaona mie ni rika lakoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We unajiona mtu mzima hapo ulipo [emoji90][emoji90]
Ya James Charles. [emoji23][emoji23][emoji23]IQ ya bobrisky sio ya Einstein
Kutokomezwa kwa njia ya mtandao na kuchati?Gayism is some sort of mental disorder haiitaji kufundishwa inahitaji kutokomezwa
Kumbe unawafuatilia mashoga wa USA?nenda USA shoga anacheza [emoji464] huku ni malofaa tu
Nimesema Elimu ya ujinsia iletwe Africa, sio kueneza ushoga, kuwa muelewa tafadhariii.Ushoga ni ugonjwa wa matatizo ya mpangilio wa hormone au kuonja kwa dhiki au mambo ya kuelimisha kuwa kawaida.anal sex and cocaïne are shortening life expectance
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogo povu lote la nn?Eti ana 8 years kwenye ndoa ya [emoji90] [emoji304] wote ni maduwanzi hata niliosoma nao o level wote zwazwa akili za ki aggrey na bobrisky kujilegeza legeza hata mpira au basketball hawajui muda wa sports kazi kushikanashikana tu nenda USA shoga anacheza [emoji464] huku ni malofaa tu ndo maana bei za lotion na sabuni na pampas zimepanda zinaishia kwenye hayo mashimo [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Mie ni mtanzania, sasa Kenya inahusu nn?Nenda kenya kama ruto hatakushushia maspana huko mkunduni hujasikia lile shoga la mitindo limekufa rift valley we nenda tu hapo jisogexe tu uone [emoji1787]
Sasa mie kujificha siwezi na sio shida zangu. Naishi kwa uhuruu eti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wewe hata huwazi,na kujibu unajibu kabisa.
Unajua kiukweli kwa jamii zetu hayo mambo wengi ni mageni,tunaona ya ajabu sana,ndo mana wengi humu tunakushangaa.
Ila kuna wengi sana wanafanya hayo mambo kwa kujificha.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Hata alio soma nao alikua ana wafuatilia kwa ukaribu mnooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe unawafuatilia mashoga wa USA?
Bibi nawee nae, sasa huyo dogo kuwa mbangaizaji na kuwa straight ndo kunafanya Elton asiwe Gay kisa ana pesa?
Hivi nashindwa kuelewa mindset ya watu kuhusu Gayism hasa wa Africa, kwan pesa ndo zinafanya hisia zife au zisiwepooo?? Km mtu ana feelings kwa jinsia yake hata awe na ukwasi kiasi gani hisia zitabaki vile vile
Elimu ya Ujinsia iletwee Africa, sio kwa hii akili ikiyopoo huku aiiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu nimewagusaa kunakooo, mnapovukwaaaa sanaaaa khaaaah.Hiyo elimu ujipe wewe na ukoo wako na wanao!
Tuache sisi waafrika tuwe naive kwa mambo kama hayo!
Tafadhali kabisa baki nalo [emoji35][emoji35]
Naona upinde ume panick[emoji1787] acha tabia ya kupakana mavi (sema uzuri wako nikikuchana huwa huchukii)
afu huyo unamuita bibi ni mshangazi sio bibi