100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ritz na ukada wake wa kupewa vijipesa vya kubadili mboga, net worth ya familia na ukoo wake hawafikii thamani ya gari moja la first son au rafiki yake...Ndio maana Kalamu nimekuweka ulipo, sometimes unaandika kama hivi vitoto vya leo; halafu unataka watu waanze kujibizana ujinga.
Huyu Ritz labda humjui vizuri regardless ya ID zake zingine na nitashangaa kwa mkongwe kama wewe kama hamjui vizuri.
Ritz ni super kada ambae piga ua CCM; mimi na yeye tumepigana vita sana japo kuna wasaa tunapishana.
Japo jamaa ni kada fisadi wa kutupa kabla ya yeye kupotea 2016 alinipa njia. Mjomba hii vita ya JK tume pambana wote na hayupo tena hii vita ya Magufuli ni awamu ya wengine.
Kwa ushauri tu wa ukada kuishi kipindi cha Magufuli akaniambia namna ya kupata mashine ya kuchimba na kuuza kokoto Mtwara tuachie CCM nyingine (japo sikuhitaji huo msaada).
Ndio CCM faida ya ukada, CCM chama,
Ndio namcheka huyo taahira aliekuwa anajisifia kwa Ritz kuwa sijui ana bima ya afya; unajiuliza anamjua vizuri ni huyo jamaa ni fisadi wa level gani.
CCM chama, sasa aina maana mimi ni pro mafisadi kama rijizi Ritz
Unataka kumtunukuKumbe ana mdogo mzuri
😉
Unecessary arrest hizi, ndio maana wanaogopa kufungua kesi haraka haraka maana wataaibikaView attachment 3490530
Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime.
Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
Imebidi nicheke sana, comrade Mayor Quimby sijui kakumbwa na nini Leo.Kwani Ritz na Faiza Fox wanatofautiana nini?
Hata hivyo, angalia akili yako inavyorukaruka bila ya mpangilio wowote? Ni nani kakuuliza habari za Ritz? Ni nani asiyemjuwa huyo?
Mayor mbona sielewi unavyoandika leo?Ndio maana Kalamu nimekuweka ulipo, sometimes unaandika kama hivi vitoto vya leo; halafu unataka watu waanze kujibizana ujinga.
Huyu Ritz labda humjui vizuri regardless ya ID zake zingine na nitashangaa kwa mkongwe kama wewe kama hamjui vizuri.
Ritz ni super kada ambae piga ua CCM; mimi na yeye tumepigana vita sana japo kuna wasaa tunapishana.
Japo jamaa ni kada fisadi wa kutupa kabla ya yeye kupotea 2016 alinipa njia. Mjomba hii vita ya JK tume pambana wote na hayupo tena hii vita ya Magufuli ni awamu ya wengine.
Kwa ushauri tu wa ukada kuishi kipindi cha Magufuli akaniambia namna ya kupata mashine ya kuchimba na kuuza kokoto Mtwara tuachie CCM nyingine (japo sikuhitaji huo msaada).
Ndio CCM faida ya ukada, CCM chama,
Ndio namcheka huyo taahira aliekuwa anajisifia kwa Ritz kuwa sijui ana bima ya afya; unajiuliza anamjua vizuri ni huyo jamaa ni fisadi wa level gani.
CCM chama, sasa aina maana mimi ni pro mafisadi kama rijizi Ritz
Unataka kumtunuku
Kione mwenywe ,utawezana na wakuryaKumbe ana mdogo mzuri
😉
Afadhali umenifanya nione kuwa sijachanganyikiwa nilihisi kutoelewa kabisa anachoongea huyu jamaa.Wewe huwa unajiona smart sana kichwani ila ukweli una tatizo la kiakili.
Mfano mdogo ni huu; mada inamhusu Heche na familia yake, wewe unajaza bandiko zako za kumjadili RITZ , ajabu kabisa.
We umempenda eeehKumbe ana mdogo mzuri
😉
Ritz na FaizaFox wote ni makada wa CCM wanaonufaika na chama hicho kutokana na kilivyo tekwa na kundi wanalojihusisha nalo; ambalo wanaona ni muhimu zaidi ya u-Tanzania wao.Ndio maana Kalamu nimekuweka ulipo, sometimes unaandika kama hivi vitoto vya leo; halafu unataka watu waanze kujibizana ujinga.
Huyu Ritz labda humjui vizuri regardless ya ID zake zingine na nitashangaa kwa mkongwe kama wewe kama hamjui vizuri.
Ritz ni super kada ambae piga ua CCM; mimi na yeye tumepigana vita sana japo kuna wasaa tunapishana.
Japo jamaa ni kada fisadi wa kutupa kabla ya yeye kupotea 2016 alinipa njia. Mjomba hii vita ya JK tume pambana wote na hayupo tena hii vita ya Magufuli ni awamu ya wengine.
Kwa ushauri tu wa ukada kuishi kipindi cha Magufuli akaniambia namna ya kupata mashine ya kuchimba na kuuza kokoto Mtwara tuachie CCM nyingine (japo sikuhitaji huo msaada).
Ndio CCM faida ya ukada, CCM chama,
Ndio namcheka huyo taahira aliekuwa anajisifia kwa Ritz kuwa sijui ana bima ya afya; unajiuliza anamjua vizuri ni huyo jamaa ni fisadi wa level gani.
CCM chama, sasa aina maana mimi ni pro mafisadi kama rijizi Ritz
We umempenda eeeh
Hii ni hatari sasa.View attachment 3490530
Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime.
Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
Mambo ya aibuKosa la Heche ni nini hasa.
Aisee CCM ya Samia inawapa watetezi wao kazi ngumu kweli.
Ngoja tusubiri maelezo ya RPC, afisa wa uhamiaji na makada.
Kaazi kweli kweli.
Is this necessary
Samia ni raisi wa hovyo, Iła kazungukwa na mafisadi wanaofanya mambo ya hovyo. Ambayo yanamfanya Samia aonekane wa hovyo kweli kweli.
Sasa hii unnecessary coverage ya nini wakati mtu alikuwa anaenda kwenye msiba tu.
Kaazi kweli kweli
Hili lishangazi levi la Konyagi kutoka Kizimkazi sasa limezidi, yaani hata ukiwa ndugu wa mwasiasa wa opposition pia ni kosa la kufanya ukamatwe?View attachment 3490530
Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime.
Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
Wewe punguani nilikuwa najua unafahamu kumbe jinga kabisa toka uje JF na uzi wako eti FB1 wampa onyo Mangekimbambi hahaha😅 sasa punguani kama wewe kazi kujisifia JF mara na bima ya afya😅Ritz na ukada wake wa kupewa vijipesa vya kubadili mboga, net worth ya familia na ukoo wake hawafikii thamani ya gari moja la first son au rafiki yake...
Kwani nimesema uongo?
Hivyo anapojitia ni kada mtiifu aelewe yeye ni masikini tu, hohe hahe, wenzake wana nyumba Oman, zanzibar, Dubai n.k-- nyumba za yule mtoto kwa zinazofahamika inafika bilioni 76 Tshs... na zipo pande tofauti duniani...
Unakuja kutuambia habari za Ritz ana mashine za kokoto...
Huyo ana bima inaweza ku cover matibabu yanafikia 150 Mils? au ndio atatembeza bakuli? au hukuelewa nachosema, maana inaelekea na wewe ni mkurupukaji.
Kama ni kada akae ajitafakari yeye ni choka mbaya tu... yaani baba levo na ujinga wake wote ananufaika chamani kuliko huyo Ritz , you get my point.