GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Ibrahim Ajib Kwao ni Ilala Bungoni nyuma kabisa na Msikiti mkubwa uliopo hapo ambapo pia Nyumba ya Pili ( jirani yao ) ni Kwao pia na Haji Manara. Amekulia hapo hapo na baada ya Familia yao mambo kutoenda vyema huku Kaka zake karibia Wote wakiwa ni Wateja alichukuliwa na Mama Mmoja ambaye ni Mwalimu Mstaafu aitwae Mwalimu Mbaga ambaye alimlea kama Mwanae pamoja na Wanawe Wanne akina Rafia na Hemed ( walioko TRA ), Fatuma na Salum ( ambaye sasa yuko Masomoni Ujerumani )Hahahaha mjuaji alitaka kutudanganya asubuhi yote hii
Na Nyumba ya huyu Mama ( Mwalimu Mbaga ) ipo nyuma ya Kituo cha Basi cha Iala Bungoni na anajulikana.