Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

Hahahaha mjuaji alitaka kutudanganya asubuhi yote hii
Ibrahim Ajib Kwao ni Ilala Bungoni nyuma kabisa na Msikiti mkubwa uliopo hapo ambapo pia Nyumba ya Pili ( jirani yao ) ni Kwao pia na Haji Manara. Amekulia hapo hapo na baada ya Familia yao mambo kutoenda vyema huku Kaka zake karibia Wote wakiwa ni Wateja alichukuliwa na Mama Mmoja ambaye ni Mwalimu Mstaafu aitwae Mwalimu Mbaga ambaye alimlea kama Mwanae pamoja na Wanawe Wanne akina Rafia na Hemed ( walioko TRA ), Fatuma na Salum ( ambaye sasa yuko Masomoni Ujerumani )

Na Nyumba ya huyu Mama ( Mwalimu Mbaga ) ipo nyuma ya Kituo cha Basi cha Iala Bungoni na anajulikana.
 
😆😆😆wewe dogo ni mjanja mno unawataja watu wa kufikirika eti mwalimu mbaga baba yake saluraka...naamini wewe dar hata miezi miwili mfululizo haujawahi kuishi
Kabla ya Kuandika huu ujinga wako hapa ulielewa nilichokiandika? Kuna mahala nimesema Mwalimu Mbaga Baba yake ni Saluraka?
 
Tunaishi nae chanika.....dah umenikumbusha ya Mrisho Ngasa hadi baba ake Mzee khalfani Ngasa alimshangaa kijana wake kwa kukata ofa kubwa ya Al mereikh ya Sudani kisa mapenzi yake kwa yanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😆😆😆wewe dogo ni mjanja mno unawataja watu wa kufikirika eti mwalimu mbaga baba yake saluraka...naamini wewe dar hata miezi miwili mfululizo haujawahi kuishi
🤣🤣🤣🤣
 
Napajua sana hapo mkuu na nyumba ya tatu yake ni kwao na Masoud Kipanya. Na nyumba ya nne yake ni kwao na Awesu Awesu na pembeni yake ni kwao na Dokta Sulle

Na dada yao ni pusha anaitwa Sadah..

Namjua sana Mwalimu Mbaga ni jirani yake na Mzee Sykes halafu nyuma ya nyumba yao kajenga Mama ake na Mchizi Mox

Pamoja na Halfani na Hamida waliopo Idara ya Maji.

Na Bilal ambae sasa YUPO South Africa. Ila huyo Fatuma yeye yupo Dubai. Umemsahau na dada yao mkubwa anaitwa Zulfa ni maarufu sana kama Zuu, yeye yupo Brazil na alizaaga mtoto wa kike na muitaliano yule alie Kuwa anakaa nyuma ya nyumbani kwao na Haji Manara pale, huyu binti anaitwa Munirah sasa hivi kaolewa Slovenia anakotoka mke wa Trump.

Yes anajulikana sana jirani yake ndio kajenga nyumba Zakia Binti Katundu, binti wa kwanza wa Mzee Jabir Katundu wa Yanga. Pembeni yake kajenga nyumba Mama ake na Ali Kiba.

Wewe kweli mtoto wa Ilala nimekukubali sana. Mtoto wa mjini
Wazazi wa mastaa wa bongo walijimegea kipande chao hapo maana sio mchezo.....kama umeishi mitaa hiyo na sio star basi ukapimwe mkojo.
 
Wazazi wa mastaa wa bongo walijimegea kipande chao hapo maana sio mchezo.....kama umeishi mitaa hiyo na sio star basi ukapimwe mkojo.
Mwanzo alinikana na kunipinga kuwa Ajibu hakai hapo na anakaa Singida sasa imekuwaje tena nae Kakubali kile kile?
 
Amechagua maisha ya katikati

Kuna watu hawapendi maisha makubwa just hela kidogo mfukoni na pakuishi
 
Ukiwa busy kufuatilia life la watu 😀😀😀😀😀😀😀 utateseka sanaa!!!!

Halafu yeye hajawahi hata kutesekaa!!!!😆😆😆😆😆😆😆
 
Mwandishi : Kwa kiwango chako ungeweza kucheza Ulaya. Unazungumziaje hii?

Ajibu : Sio lazima mimi ndio nikacheze Ulaya, hata wewe mwandishi unaweza ukafanya kazi Ulaya, Muuza matunda anaweza kuuzia matunda Ulaya na wengine pia.
 
Mwanzo alinikana na kunipinga kuwa Ajibu hakai hapo na anakaa Singida sasa imekuwaje tena nae Kakubali kile kile?
Nimekubali mkuu, Ajibu anakaa Ilala karibu na kwenu mkuu, nyuma yake kajenga Hadija Kopa na pembeni yake anaishi Nyoshi El Saadat na nyumba ya tatu yake ndio kapanga Ricardo Momo kwenye nyumba ya Mzee Zubeir, baba mkwe wake na Waziri Awesu
 
Tunaishi nae chanika.....dah umenikumbusha ya Mrisho Ngasa hadi baba ake Mzee khalfani Ngasa alimshangaa kijana wake kwa kukata ofa kubwa ya Al mereikh ya Sudani kisa mapenzi yake kwa yanga.
Mbona hamshangai Aziz kabaki Kwa ajili ya Hamisa?
 
Back
Top Bottom