Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

Muonee huruma mdogo wako kea kumtafutia mchongo huko mjini au huko unakofanyia kazi ili na yeye awe katika nafasi ya kumhudumia mke wake.

Usiache ndoa ya mdogo wako ivunjike eti kisa kakako Hana uwezo.Fanya jambo umsaidie mdogo wako Mungu atakubariki.
 
Uhali gani wanajamii. Nina mdogo wangu ana miaka 22 ameoa mwezi uliopita kiufupi walichukuana tu baada ya kupendana na mdada mmoja yupo mitaani Sasa ubaya nikwamba hana kazi yoyote yeye na mkewe wapo tu home chumba chenyewe wanalala chumbani Kwangu Sema mimi nina miezi kama saba sijarudi home.

Anasubiri tuwatumie wazazi hata elfu tano nawao wale chakula kupitia hiyo pesa, hawana nyuma wala mbele kimsingi ni joblessest. Wanatia aibu nae mwanamke mwenyewe niwamitaani tu.

Nawaombea maisha mema ila nawahurumia kesho yao. Kama tu mimi kaka yao nina kazi nzuri yenye pesa nzuri nikisafiri tu posho nene ila bado sijajipanga kuoa lakini huyu dogo sijui ibilisi gani kamshawishi kuoa.
Mpwayungu muongo
 
Kama ni ndoa inatoka kwa Mungu, siyo ibilisi. Hayo mengine sina comment...
 
Back
Top Bottom