Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

Muonee huruma mdogo wako kea kumtafutia mchongo huko mjini au huko unakofanyia kazi ili na yeye awe katika nafasi ya kumhudumia mke wake.

Usiache ndoa ya mdogo wako ivunjike eti kisa kakako Hana uwezo.Fanya jambo umsaidie mdogo wako Mungu atakubariki.
 
Mpwayungu muongo
 
Kama ni ndoa inatoka kwa Mungu, siyo ibilisi. Hayo mengine sina comment...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…