Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

Ugonjwa wa akili huo!!! Muwahisheni hospitali.
 
Mpelekeni kwa Mhubiri makini aombewe majini hayo
 
Chizi hilo mrudishe mwanza ila pitia mielmbe pale dodoma apate tiba kwanza.
 
Ok, nakushauri mpeleke hospital akachunguzwe, kisha ujue tatzo n nn, usipopata tatzo, mpeleke kanisani aombewe. Lakini angalia na makanisa utakayompeleka.

With thanks
 
Mkimbize kwa Gwajima haraka.Huyo Ni msukule tayari.


Nipe ushauri mwingine tuu.....
Mimi mwenyewe mtumishi.... halafu nimpeeke kwa mtumishi tena, kujidhalilisha huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…