Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

Punguza sauti basi .
 
Ok, nakushauri mpeleke hospital akachunguzwe, kisha ujue tatzo n nn, usipopata tatzo, mpeleke kanisani aombewe. Lakini angalia na makanisa utakayompeleka.

With thanks

Asante mkuu... ingawa suala la kumuombea nishamuombea sanaa... maana mimi mwenyewe ni Mtumishi
 
Upako wa watumishi unatofautiana.

Kama Na wewe ni mtumishi basi ingia siku saba kavu kisha anza kumfanyia deliverance.Atafunguliwa.
 
Upako wa watumishi unatofautiana.

Kama Na wewe ni mtumishi basi ingia siku saba kavu kisha anza kumfanyia deliverance.Atafunguliwa.

Siku saba (7) kavu!!! Yaani bila kula????? Hata maji?????
Acha ujinga mkuu....
 
Wanafunzi wakamuuliza Yesu mbona SISI tumeshindwa kumtoa pepo? Akawa ambia namna hii hatoki isipokuwa kwa kufunga Na kuomba.

Kufunga kuna attract upako.kwa kuwa huwezi saba kavu jaribu Hata tatu za maji tu.

Case za mapepo zinahitaji kufunga.
 
mi hata sijasoma ulichokiandika bado. nimesoma heading na comments tu. ila mpeleke hospitali
 
Mpeleke hospital na kwenye maombi
 
Siku saba (7) kavu!!! Yaani bila kula????? Hata maji?????
Acha ujinga mkuu....
Ndo maana ukaambiwa watumishi mnatofautiana.
Yesu siku 40 kavu wewe unakunywa na maji. Huyo mdogo wako kama ni kweli anasumbuliwa na "Pepo wachafu " kama wale machizi ambao mapepo wachafu wanawatumikisha kula vitu vichafu na kuacha visafi, kuvaa nguo zilizochanika hata akivalishwa nzuri safi hataki, kukaa ktk mazingira machafu n.k nenda ktk makanisa au huduma za maombezi ya kwa jina la Yesu kwa imani anaweza pokea uponyaji.

Ntarudi....
 
Wanafunzi wakamuuliza Yesu mbona SISI tumeshindwa kumtoa pepo? Akawa ambia namna hii hatoki isipokuwa kwa kufunga Na kuomba.

Kufunga kuna attract upako.kwa kuwa huwezi saba kavu jaribu Hata tatu za maji tu.

Case za mapepo zinahitaji kufunga.
Maana ya kufunga unaifaham ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…