Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
- #41
Mpeleke bugando pale mtafute superspecialist MAKOJIJO atamtibu.
Sawa asante kwa ushauri mkuu.. ngoja ninote down "Dr MAKOJIJO"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeleke bugando pale mtafute superspecialist MAKOJIJO atamtibu.
Punguza sauti basi .Mapendo jamani.... Amina.
Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala.
Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina mpaka nashangaa...
Ni hivi............
1. Anapenda kula matapishi yake. Yaani akimaliza kula chakula, anaingiza kidole mdomoni anajichokonoa anatapikia kwenye sahani then anaanza kula matapishi hadi anamaliza.
2. Anapenda kujichokonoa uchafu na makamasi ya pua, halafu analamba kidole.
3. Anapenda kuchokonoa nta za masikio kwa njiti za kibiriti then analamba vijiti.
4. Ukimpa chai lazima atemee mate kwenye kikombe ndio aanze kunywa.
5. Akimwona mtoto ana makamasi puani anamkimbilia na kunyonya makamasi yale mpaka yanaisha.
Nimegundua hayo baada ya kukaa nae kwa takribani week mbili sasa.
Wakuu, huu ni ugonjwa ama nini.. Nifanyeje.... Nimpeleke hosp, nimpe nauli arudi Mwz ama..
Ndimi Mtumishi Mcharo
Ok, nakushauri mpeleke hospital akachunguzwe, kisha ujue tatzo n nn, usipopata tatzo, mpeleke kanisani aombewe. Lakini angalia na makanisa utakayompeleka.
With thanks
Punguza sauti basi .
Imani zinatofautiana sanaAsante mkuu... ingawa suala la kumuombea nishamuombea sanaa... maana mimi mwenyewe ni Mtumishi
Upako wa watumishi unatofautiana.
Kama Na wewe ni mtumishi basi ingia siku saba kavu kisha anza kumfanyia deliverance.Atafunguliwa.
Hata mie huyo sio mtu uwiiiiii wala usipote muda mpeleke ufufuo na uzima kwa Gwaji.Duuuuh sitaki kuwa mnafiki uzi wako nimeshindwa kuusoma hadi mwisho...nahisi kichefuchefu
Mapendo jamani.... Amina.
Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala.
Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina mpaka nashangaa...
Ni hivi............
1. Anapenda kula matapishi yake. Yaani akimaliza kula chakula, anaingiza kidole mdomoni anajichokonoa anatapikia kwenye sahani then anaanza kula matapishi hadi anamaliza.
2. Anapenda kujichokonoa uchafu na makamasi ya pua, halafu analamba kidole.
3. Anapenda kuchokonoa nta za masikio kwa njiti za kibiriti then analamba vijiti.
4. Ukimpa chai lazima atemee mate kwenye kikombe ndio aanze kunywa.
5. Akimwona mtoto ana makamasi puani anamkimbilia na kunyonya makamasi yale mpaka yanaisha.
Nimegundua hayo baada ya kukaa nae kwa takribani week mbili sasa.
Wakuu, huu ni ugonjwa ama nini.. Nifanyeje.... Nimpeleke hosp, nimpe nauli arudi Mwz ama..
Ndimi Mtumishi Mcharo
Ndo maana ukaambiwa watumishi mnatofautiana.Siku saba (7) kavu!!! Yaani bila kula????? Hata maji?????
Acha ujinga mkuu....
Maana ya kufunga unaifaham nduguWanafunzi wakamuuliza Yesu mbona SISI tumeshindwa kumtoa pepo? Akawa ambia namna hii hatoki isipokuwa kwa kufunga Na kuomba.
Kufunga kuna attract upako.kwa kuwa huwezi saba kavu jaribu Hata tatu za maji tu.
Case za mapepo zinahitaji kufunga.
[emoji23] [emoji23] [emoji115]Umetengeneza mapichapicha yako disgusting ili watu wapate kinyaa.. Bwege wewe.