Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

Hilo ni demon au pepo mpeleke kwa wanamaombi wa ukweli siyo wajasiliamali ukimuacha hivyo hivyo Kuna siku mambo yataharibika zaidi Yohana 10:10 Mwizi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu nami nilikuja ili uwe na uzima
 
Back
Top Bottom