Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu (ila bado sijathibitisha) ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…