Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Ivi watanzania swala la ukabila litaisha lini?
Ukabila sio ule kama wa wakenya,na hii sio ukabila wala usichochee ujinga,
Kabila la mwanamke na tabia ni mambo yasiyoachana,mwanamke wa kirangi,digo,mhaya,mnyaturu ,mmachame ,wasambaa,wa kusini hawawezi wa kawaida kawaida utakutwa tu jambo zito
 
Wachawi wapo kila sehemu bwana kama huyo wako alikua mchawi ni huyo na wala sio wote.
 
Kama tu ni bikira oa,vinginevyo hakuna ndoa yenye baraka hata maandiko yanasema
 
Amuoe wakakae mbali na kwao,tabia za mwanamke zinakuwa active akikaa na jamii yake ila anapokaa mbali na jamii yake anakuwa tofauti anaiga tabia za wanaomzunguka.

Mfano wanawake wa wachagga waliokulia Dar au kuzaliwa Dar wanajua kupika vizuri sana mapishi mbali mbali kushinda hata hawa wa Dar wenyewe.

Wamburu wakikaa huku pwani wanajua kugongwa hovyo ni kujidhalilisha sababu sio ustaarabu kwa mwanamke kuwa hivyo.
 
Nina binti wa kazi hapa home ni msukuma binti ametulia natamani kumugeuza mke Ila nakumbuka sivutiwi nae ni Tamaa tu za kimwili naona kabsa hapa nitaongeza singo maza mwingine, nimeamua kujizuia
Ni pasie huku.
 
Ubishi na waha ni matako na dimpozi
Alafu nani atakuwa anapika hapa maskani
Ila Wanawake wa Kiha ni wavumilivu sn kwenye ndoa .. ukiona hawafai jaribu Wazaramo wapo vizuri...
 
Kwa Tanzania kabila lililo bakiza wife material ni wasukuma na wabena tu
Ukitaka Msukuma aliyetulia oa kwenye zile familia za kifugaji sio zile za wauza wanzuki na kucheza miziki ya Bhudagala..
 
Kwa Tanzania kabila lililo bakiza wife material ni wasukuma na wabena tu
Hapo sema hela ndio inamaadili sio makabila mwanaume kama huna kazi ya maana au hela kwa dunia ya leo ngumu kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…